Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mkuu Yani Hoover na Mattis hao kuna ukakasi kweli, Marekani ana tabia ya kuwaandaa Viongozi wa ngazi ya Juu kabisa wawe long live bachelor kwenye publicity hichi tunachokiona Kwa Secretary of Defense James mattis Kwa Upande mwingine kinaweza kuwa Kama Siri ya familia ya jamaa kaamua kuificha ili kuwa huru zaidi, Kwenye usalama ambae hana chain kubwa ya Watu anawaamini wazazi na watoto basi ni ngumu kuchunguzika kuna rumours Edgar alikuwa in date na Secretary wake fatilia hawa leader wa rank ya juu wa marekani yani wengi wamezidi sana watoto ni wawili wengi huficha familia zao ili kuwa huru zaidi mfana Mike pompeo DG wa CIA1. J. Edgar Hoover - Alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa FBI
2.Marilyn Monroe - Mrembo matata wa miaka ya 1950'a
3. Dr. Hasting Kamuzu Banda - Rais wa Kwanza wa Malawi.
4.Jenerali James Mattis - Waziri wa Ulinzi wa sasa wa Marekani.
5.Patrice Lumumba - Waziri Mkuu wa zamani wa Kongo.
Ni muda mrefu alikuja rais Sekuture na mama Sekoture wote wanavaa nguo nyeupe na walipata mtoto wa kuasiliSikuwahi kuifahamu hii
Huwa nakuadmire: Hii hapa The Art of Being a Good Leader in Tanzania was Dead With Beloved Son Edward Sokoine….!!!!(III)Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Huwa nakuadmire: Hii hapa The Art of Being a Good Leader in Tanzania was Dead With Beloved Son Edward Sokoine….!!!!(III)
.......Edward Moringe Sokoine was big name in twenty century and will remain popular for other many centuries to come. Sokoinewas brought to big politics by former president of Guinea Conakry Ahmed Sekou Toure who travelled together with Sokoinefrom Dar es Salaam to Conakry when Sokoine was appointed to escort a Masai orphan child from Monduli who was adopted by Ahmed Sekou Toure. In the flight Sokoine was talking big things with intellectual vitamins which made Sekou Toure to admire the talent and special art of expressing his quantitative intelligence; after arriving in Conakry Ahmed Sekou Tourewanted Sokoine to remain in Guinea and take a key position in his government, but Sokoine refused, then President Ahmed Sekou Toure wrote Mwalimu Nyerere a letter to recommend Sokoine as very intelligent guy who would make a good leader in his government......
Nahisi, lodilofa mmmh!?!Mwenye kusema wapumbavu nae vp?yule wa tatu yule
George Clooney ana twins.Jenet kashapota..
Hahahhahhh na Tiffa Prince ni wa nani? Nauliza tu Mkuu!
Anae mtoto anaitwa Careen, alikuwa na mke kabla ya JideG. G. H. rafiki yake mropokaji wa ile redio huko angani!!!!
Hahahhhh anao bana thie wenzio twafahamuNa yule mzee wanamuitaga "Lodi Lofa" nasikiaga eti naye hanaga mtoto thijui ni kweli?
Nadhani ni miaka ya 70 hiyo kama sikoseiAsante sana mkuu, ninakumbuka hili tukio la kutembelewa na rais pamoja na mama Sekoture, nilikuwa primary darasa 3-4. Siku wa ninafahamu kuwa kijana akitoka Monduli lakini ninakumbuka mavazi meupe ya rais na mama Sekoture
Ana watoto wawili
Du huyo mtoto alibahatika sana.Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.