Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Sekou Toure alikuwa na watoto wake. Mmoja yupo jela Texas alifungwa kwa ku enslave a Guinean girl.

Yule mtoto aliyekuwa adopted, Dr. Toure, kuna kipindi alikuwa DC bongo. Siku hizi simsikii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angela Merkel hana mtoto pamoja na kuolewa Mara mbili
Screenshot_20200105-131818.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
kafika huk usukuman nn?maana kuna hospital hapa inaitwa hilo jina
 
Back
Top Bottom