Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Nadhani hata shujaa wangu Edward Moringe Sokoine alikufa kabla ya kufikisha miaka 50 maana alizaliwa tarehe 01.08.1938 na alikufa 1984
 

Aliitwa Dodi alfa-Yeddy mtoto wa billionear mmoja Mohamed alfa-yeddy
 
Nakumbuka ngoma yake ya" put it on" miaka hiyo
Mie kuna kibao chake yupo na Kool G Rap, kingine yupo na Remy Martin(yule mlimbwende) wa kundi la Terror Squad chini ya baba yao Fat Joe na nyingine Holding it down, Flamboyant, The big picture iliobeba Album na kuna ngoma yake moja kwa upande wangu naikubali sana yuko na Tupac ya kutiwa Deadly combination, na kuna nyingine Work part 2 nayo naikubali sana yupo na Guru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…