Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

jim hendrix-27
sam cooke-33
marvin gaye-44
marilyn Monroe-36
Andrés Escobar-27
Amy Winehouse-27

Kifo cha Marilyn Monroe kimebaki na utata mpka leo, wengine wanasema CIA, wengine wanasema aliuwawa na Kennedy brothers.
 
Mack vivian foe,
Justin kalikawe.
Mtoto wa dandu.
 
Andres Escobar aliuwawa na wahuni baada ya kufungisha goli ktk world cup ya 1994 hivyo kupelekea nchi yake ya Colombia kutoka katka michuano.

Sio wahuni Mkuu.. Escobar aliuawa na hit men wa drug cartel moja iliyokuwa inaongizwa drug lord aitwae Santiago Gallon.. Sababu kubwa ni jamaa alipoteza hela nyingi baada ya ku-bet kwamba Colombia wangeshinda kwenye mechi ile na Marekani.. Hit man mmoja aliehusika moja kwa moja anaitwa Castro Muñoz.. huyu alikuja kutiwa hatiani na kufungwa miaka 45.. Japo alikuja kupunguziwa miaka na hatimae kuachiwa kutokana na tabia nzuri aliionyesha alipokuwa jela..
 
Back
Top Bottom