COMRADE 07
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 337
- 150
Elvis presley
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa akikuwa anaitwa dodi...alikuwa tajiri mmoja pale paris9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
MkuuLe Mutuz
Wabongo wanaishi umri mkubwaduuuh hamna mbongo
Dodi El FahadJamaa akikuwa anaitwa dodi...alikuwa tajiri mmoja pale paris
Dodi El Fayed mtoto wa billionea raia wa Misri, Mohamed Al Fayed anayeishi na kuivest Uingereza eg. Fulham football club and once owned Harrods!Dodi El Fahad
Upo sawa mkuu, naona nili'temper na formulaMadilu kweli hakufikisha miaka 50?