Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Which crack r u smoking ,??
Mkuu hayo majibizano nilishaacha kitambo na siendelei nayo kabisa nilishaandika ui humu wa kuwaomba msamaha waliokwazika nami. naomba uedit na uifute hiyo quote tafadhari nakuomba. Sikumbuki hata ilikuwa ni quote namba gani Mod One nisaidie kufuta pls
 
Umri wa miaka 39 ndo huondoka na wanaharakati
 
Mtoto wa Dandu
Eddy Shaggy
Salim Abdallah Yazid
Motie Reginald
Steven Kanumba
Natina( Aliimba na Kurupt wimbo- Its over)
Hamis Amigolas( sina hakika kama alifikisha 50yrs mwaka huu)
Complex na Vivian
 
Seems like wakt unaandaa hii list focus yako yte ilikua nje.,
Mark vivian foe,complex,Agness geralD,Langa,Father nelly wa X plastaz,Jerby,marilyn monroe...
 
Back
Top Bottom