Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hayo majibizano nilishaacha kitambo na siendelei nayo kabisa nilishaandika ui humu wa kuwaomba msamaha waliokwazika nami. naomba uedit na uifute hiyo quote tafadhari nakuomba. Sikumbuki hata ilikuwa ni quote namba gani Mod One nisaidie kufuta plsWhich crack r u smoking ,??
Senzo yupo sema amepoteza uwezo wa kuzungumzaPeter tosh(The stepping razor), Lucky Dube, Senzo, Fanuel Sedekia, Angela Chibalonza, Emachichi
Senzo Yuko hai, na amefanya interview juzi1. Brenda Fassie
2. Senzo
3. Senzo
4. Lucky Dube
5. Mbulelo Mabizela
6. Solomon Mahlangu
Hata wewe Ibra87 umefariki kabla ya miaka 50, Pumzika kwa amani Kaka.Betty Ndejembi Mwanamitindo anayesadikiwa kuuawa na watu ambao mpaka leo hawafahamiki
kilimuua mkuuni Rehema
Hapana,Mtume Muhammad(SwallaLlahu Alayhi Wa aalihi Wasallam)alifariki akiwa na miaka 63Muhammad S.A.W miaka 38 kifo chake utata
Complex na VivianMtoto wa Dandu
Eddy Shaggy
Salim Abdallah Yazid
Motie Reginald
Steven Kanumba
Natina( Aliimba na Kurupt wimbo- Its over)
Hamis Amigolas( sina hakika kama alifikisha 50yrs mwaka huu)