Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
Inasikitisha sana[emoji22]Hata wewe Ibra87 umefariki kabla ya miaka 50, Pumzika kwa amani Kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana[emoji22]Hata wewe Ibra87 umefariki kabla ya miaka 50, Pumzika kwa amani Kaka.
Mkuu hayo majibizano nilishaacha kitambo na siendelei nayo kabisa nilishaandika ui humu wa kuwaomba msamaha waliokwazika nami. naomba uedit na uifute hiyo quote tafadhari nakuomba. Sikumbuki hata ilikuwa ni quote namba gani Mod One nisaidie kufuta pls
Mpenzi wake alikuwa Dod El Fayed .9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
Niwe mkweli mimi niliwaza jina holo lakini nikahisi alishavuka50+ wakati anakufa!
DR KLERUU ALIUAWA NA MWAMWINDI KULE IRINGA AKIWA MKUU WA MKOAduuuh hamna mbongo