Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Ilikuaje ukaacha hayo majibizano mkuu??

Tupe reason.
Mkuu hayo majibizano nilishaacha kitambo na siendelei nayo kabisa nilishaandika ui humu wa kuwaomba msamaha waliokwazika nami. naomba uedit na uifute hiyo quote tafadhari nakuomba. Sikumbuki hata ilikuwa ni quote namba gani Mod One nisaidie kufuta pls
 
WWE. UMAGA(Wrestler) Edward Smith Fatu. Age 36
220px-Umaga_en_Chicago.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
Mpenzi wake alikuwa Dod El Fayed .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom