Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.
1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde na alifariki kwa ngoma 1991. Ni moja ya watu waliochangia sana Zanzibar na Tz kusikika. Hata watu hutembelea nyumba aliyozaliwa.
2. . . .