Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

Hamtaki kusemwa?
Nao walisemwa na watu wa wakati huo. Halafu Kama ni jambo baya basi haliwezi kuhalalishwa sababu tu ni la zamani.
Hapana mkuu mm sio upinde
Nimeuliza tuu kwa wakati wenu Hali ilikuwa km hii hii ya sasa ambayo inakera na kufanya tusitamani kusikia wayafanyayo!
 
images (8).jpeg

Huyu jamaa nasikia ni Mpogoro wa hapo mahenge
 
Hapana mkuu mm sio upinde
Nimeuliza tuu kwa wakati wenu Hali ilikuwa km hii hii ya sasa ambayo inakera na kufanya tusitamani kusikia wayafanyayo!
Shida kubwa ni
1. Mental health
2. Utandawazi hii ni kwa wakati huu maana likifanyika Dar wakati huu huu tunalipata huku mwanza.
Kwahiyo Sasa hivi unaweza ona Kama wanasema sana ila ni sababu tupo live kila mahali
 
Ok nimekupata vyema mkuu 👊....... Shukrani
 
Ile muvi ya spartucus scripts manager ni mjomba wangu kabisa ametokea kanda ya ziwa. Akikubali nitaweka picha kabisa.
 
Taraji penda henson
Talib kweli ( rafiki WA jay z)
 
Upinde ulikuwa toka zamani? Mbn mnawasema vijana wa sasa ?
Kwahiyo unataka kusema ulikuwepo toka zamani ndio vijana wa sasa waruhusiwe acha uzwazwa ni kweli ulikuwepo toka zamani lkn haujaachwa kukemewa toka enzi hizo kuanzia vitabu vya dini mitume, manabii, viongozi wa dini pamoja na waungwana wa kawaida
 
Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.

1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde na alifariki kwa ngoma 1991. Ni moja ya watu waliochangia sana Zanzibar na Tz kusikika. Hata watu hutembelea nyumba aliyozaliwa.
View attachment 3246285

2. . . .
Acheni kudandia raia wa nchi nyingine kwa mbele, wabongo mnajipendekezq kwa watu hata ambao hawana mahusiano na nyie . Director wa FBI wazaz wote wametoka india, yeye ni mzaliwa wa Marekani. Kaaje mtanzania?

Punguzeni kujipendekeza
 
Hapo kwenye upinde inatosha kumkana kwamba sio ndugu yetu.
 
Acheni kudandia raia wa nchi nyingine kwa mbele, wabongo mnajipendekezq kwa watu hata ambao hawana mahusiano na nyie . Director wa FBI wazaz wote wametoka india, yeye ni mzaliwa wa Marekani. Kaaje mtanzania?

Punguzeni kujipendekeza
Hao ni ndugu zetu kabisa. Mtu anajipendekezaje kwa nduguye!?
 
Back
Top Bottom