Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mwamba Magufuli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamtaki kusemwa?Upinde ulikuwa toka zamani? Mbn mnawasema vijana wa sasa ?
Hapana mkuu mm sio upindeHamtaki kusemwa?
Nao walisemwa na watu wa wakati huo. Halafu Kama ni jambo baya basi haliwezi kuhalalishwa sababu tu ni la zamani.
Shida kubwa niHapana mkuu mm sio upinde
Nimeuliza tuu kwa wakati wenu Hali ilikuwa km hii hii ya sasa ambayo inakera na kufanya tusitamani kusikia wayafanyayo!
Ok nimekupata vyema mkuu 👊....... ShukraniShida kubwa ni
1. Mental health
2. Utandawazi hii ni kwa wakati huu maana likifanyika Dar wakati huu huu tunalipata huku mwanza.
Kwahiyo Sasa hivi unaweza ona Kama wanasema sana ila ni sababu tupo live kila mahali
NagongeleaKuanza kumtambulisha shoga kama ndugu yetu kunaelezea mazito sana kuhusu mleta nada
Kwahiyo unataka kusema ulikuwepo toka zamani ndio vijana wa sasa waruhusiwe acha uzwazwa ni kweli ulikuwepo toka zamani lkn haujaachwa kukemewa toka enzi hizo kuanzia vitabu vya dini mitume, manabii, viongozi wa dini pamoja na waungwana wa kawaidaUpinde ulikuwa toka zamani? Mbn mnawasema vijana wa sasa ?
Umeona mbali sna sisterKuanza kumtambulisha shoga kama ndugu yetu kunaelezea mazito sana kuhusu mleta nada
Acheni kudandia raia wa nchi nyingine kwa mbele, wabongo mnajipendekezq kwa watu hata ambao hawana mahusiano na nyie . Director wa FBI wazaz wote wametoka india, yeye ni mzaliwa wa Marekani. Kaaje mtanzania?Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.
1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde na alifariki kwa ngoma 1991. Ni moja ya watu waliochangia sana Zanzibar na Tz kusikika. Hata watu hutembelea nyumba aliyozaliwa.
View attachment 3246285
2. . . .
Hapo kwenye upinde inatosha kumkana kwamba sio ndugu yetu.Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.
1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde na alifariki kwa ngoma 1991. Ni moja ya watu waliochangia sana Zanzibar na Tz kusikika. Hata watu hutembelea nyumba aliyozaliwa.
View attachment 3246285
2. . . .
Hao ni ndugu zetu kabisa. Mtu anajipendekezaje kwa nduguye!?Acheni kudandia raia wa nchi nyingine kwa mbele, wabongo mnajipendekezq kwa watu hata ambao hawana mahusiano na nyie . Director wa FBI wazaz wote wametoka india, yeye ni mzaliwa wa Marekani. Kaaje mtanzania?
Punguzeni kujipendekeza
Unaogopa kuambukizwa?Hapo kwenye upinde inatosha kumkana kwamba sio ndugu yetu.