Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

Si ndugu kwa nanmna yoyote ile, hamna document yoyote inayodhibitisha hilo.
Acheni kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa
Asili yao ya Tanzania ndiyo inafanya tuwe ndugu. Kuwakataa ndugu sababu wamefanikiwa nao ni ubaguzi.
 
Asili yao ya Tanzania ndiyo inafanya tuwe ndugu. Kuwakataa ndugu sababu wamefanikiwa nao ni ubaguzi.
Hamna asili yao , hamna document inadhibitisha asili yao, sasa unampakazia mtu ili iweje? Kabla ya kufanikiwa kwao ukiwafahamu?
 
Kwahiyo unataka kusema ulikuwepo toka zamani ndio vijana wa sasa waruhusiwe acha uzwazwa ni kweli ulikuwepo toka zamani lkn haujaachwa kukemewa toka enzi hizo kuanzia vitabu vya dini mitume, manabii, viongozi wa dini pamoja na waungwana wa kawaida
Ok hongera usiye zwazwa
 
2. Rachel Lutrell. Muigizaji. Huyu ndugu yetu sana tu. Msambaa kazaliwa Dar.


View attachment 3246291
Rachel Lutrell
Luttrell was born 19 January 1971,[1] in Dar Es Salaam, Tanzania,[2] the daughter of Veronica Makihio Shenkunde Luttrell[3] of the Washambala tribe of the Usambara Mountains, and Dr. William Leon Luttrell[3] from Bossier City, Louisiana. She is one of four daughters.[3] Her family emigrated to Canada when she was five years old,[2] and she was raised in Toronto.[2] Her family has several musical roots; her father, a former member of the critically acclaimed Toronto Mendelssohn Choir, trained Luttrell's soprano voice. She studied ballet at the Russian Academy of Classical Ballet School[4] and also studied piano at The Royal Conservatory of Music in Toronto.[2][4]
 
Hamna asili yao , hamna document inadhibitisha asili yao, sasa unampakazia mtu ili iweje? Kabla ya kufanikiwa kwao ukiwafahamu?
Kuna documents zinathibitisha wamezaliwa Tanzania. Mafanikio yasitutenganishe.
 
Kwanini hamtaki kutoa uraia pacha mnagopa nini?

Watu wakishafanikisha mambo yao ndio mnaibuka na kuanza kusema huyu ni wa kwetu kabisa huyu.
 
Unamkumbuka Judith wa Two and half men?

1000070283.jpg



1000070282.jpg
 
Freddie Mercury - Most popular Tanzanian ever
Bwana Rishi aliekuwa PM wa UK
Huyu Mdosi mpya wa FBI
Yupo kijana anaecheza Football Denmark jina limenitoka.
Abdul razak Gurnah
Yelena Hanga mtoto wa Kassim Hanga amabye ni muandishi wa habari maarufu Russia na Ulaya kwa ujumla
adam Hanga basketball player kutoka Hungry aliwahi cheza zote Real Madri na Barcelona. Ni Mjukuu wa Kassim Hanga ambaye baba yake alikuwa anaishi bongo kabisa.
 
Back
Top Bottom