Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Aisee🙌Ndugu yetu kabisa🙂.
2. Rachel Lutrell. Muigizaji. Huyu ndugu yetu sana tu. Msambaa kazaliwa Dar.Aisee🙌
🤣🙌2. Rachel Lutrell. Muigizaji. Huyu ndugu yetu sana tu. Msambaa kazaliwa Dar.
View attachment 3246291
Inawezekana zamani ndiyo ilikuwa balaa kabisa. Kuna jamaa wa Sodoma walitaka kumbaka mgeni wa Luthu. Miaka 2000 kabla ya Yesu kuzaliwa, yaani miaka 4,000 iliyopita.Upinde ulikuwa toka zamani? Mbn mnawasema vijana wa sasa ?
Msambaa au sio nasubiri msukuma2. Rachel Lutrell. Muigizaji. Huyu ndugu yetu sana tu. Msambaa kazaliwa Dar.
View attachment 3246291
Naaam kabisa kabisa hizi ishu zilikuwepo sana lkn siku hz kinachofanya ionekane kwa urahisi ni teknolojia hasa ya simu na mitandao yake hivyo wako huru,Inawezekana zamani ndiyo ilikuwa balaa kabisa. Kuna jamaa wa Sodoma walitaka kumbaka mgeni wa Luthu. Miaka 2000 kabla ya Yesu kuzaliwa, yaani miaka 4,000 iliyopita.
Huyu jamaa nakubali ile nyimbo yake ya "HAVING A GOOD TIME"Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.
1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde na alifariki kwa ngoma 1991. Ni moja ya watu waliochangia sana Zanzibar na Tz kusikika. Hata watu hutembelea nyumba aliyozaliwa.
View attachment 3246285
2. . . .
Naikubali sana Innuendo. Aliimba ugonjwa umembana, anatafuta maana ya maisha.Huyu jamaa nakubali ile nyimbo yake ya "HAVING A GOOD TIME"
Huyu mama ake ndio msambaa sio yeye2. Rachel Lutrell. Muigizaji. Huyu ndugu yetu sana tu. Msambaa kazaliwa Dar.
View attachment 3246291
Hakuna muha mrefuDikembe Mutombo alikuwa muha alizaliwa kigoma kijijini kwetu kabisa, akaenda zake ku zaiire then USA