Watu maskini hawapaswi kuzaa watoto

huo utaratibu kama ungetumika nina uhakika hata wewe leo hii usingekuwepo, matter of fact >95% ya watanzgiza leo hii wasingekuwepo, hakuna mtanzagiza ambaye hana historia ya umaskini aidha baba na mama yake au babu na bibi yake walikuwa masikini ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…