Watu Milioni 2.1 wahudhuria Tamasha la bure la Lady Gaga nchini Brazil

Watu Milioni 2.1 wahudhuria Tamasha la bure la Lady Gaga nchini Brazil

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo umati mkubwa wa watu ulijaza ufukwe huo siku ya Jumamosi wakati nyota huyo wa muziki wa pop alipopiga tamasha hilo kubwa
IMG_4597.jpeg

Tamasha hilo, ambalo ni sehemu ya ziara yake ya kutangaza albamu yake Mayhem, linatarajiwa kuingiza takriban shilingi bilioni 271.1 za Kitanzania


Mashabiki walianza kujipanga mapema, huku ulinzi mkali ukiwepo kuhakikisha usalama wakati wote wa tukio hilo. Lady Gaga anafuata nyayo za Madonna, ambaye pia alitumbuiza bure katika eneo hilo hilo mwezi Mei 2024.

==

IMG_4598.jpeg


Guests started queuing from early Saturday morning to secure a good spot for the show, which is paid for by local authorities. Organizers said about 2.1 million revelers were estimated to have been in the crowd.

One fan, Lucas, told CNN that he thinks the concert attracted a bigger audience than the one put on by Madonna a year ago on the world-famous seafront.

“I feel the city is more crowded this time, but I’m very excited”, said the film maker.

Many fans – which the star refers to as her “Little Monsters” – had dressed up in Gaga-themed costumes, referencing major hits like “Poker Face,” “Born This Way” and “Bad Romance.”

Lady Gaga’s trip to Brazil is part of a global tour to promote “Mayhem,” her new album. The genre-hopping singer and actor, 39, was in Mexico City last week, where she played two concerts.

The night before the Rio concert, the pop star surprised beachgoers on Copacabana by taking the stage for a rehearsal.

“I’ve missed you so much”, she said between applause, during her first performance in Brazil since 2012. “I know that this is not the first show here, I know this is just a rehearsal, it feels like it’s the real show,” she added before breaking into “Alejandro.”

On Saturday night, while walking towards the stage, Abril, an Argentine tourist, told CNN affiliate CNN Brazil about the big moment.

“The truth is that the energy here in Copacabana is incredible,” Abril said. “Rio is incredible and it always lends itself to parties and magical moments.”
 
Beach mavi zetu kama coco na kigamboni zingeweza kutosha accomodation ya tamasha lenye wingi wa umati huo?
 
😃😃😃 taifa tu uwanja ukijaa 60K huwa nahisi kama nipo ulimwengu mwingine, sasa sijui hapo kwenye 2.1m hapo unachukua watu wa Arusha wote unapeleka beach 🤣
Hajawahi fika kwa mwamposa?
 
Mmmh sidhani, kundi la watu 2M inabidi muwe na discipline ya hali ya juu, otherwise watu watakufa, na wabongo wanavyopenda kushuhudia kilakitu anaweza akupandie kichwani.
Makisio ya watu wa jiji la Rio inawezekana yamekaa kibiashara zaidi.

Sidhani Copa Cabana ina uwezo wa kuweka pamoja watu wote hao. Maana Jiji lote la Rio lina watu kama milioni 6.2. sawa watu milioni 2.1 ni sawa na asilimia 33 ya watu wote.
 
Maana ukiongeza neno tu, utaambiwa unabisha. Lakini ukweli ni kuwa kuweka watu milioni 2.1 beach si mchezo.
yaan watu wa kigali nzima wawepo sehemu moja tu ya beach sometimes ni vitu vya uongo watu wanavyovihipe tu
 
Maana ukiongeza neno tu, utaambiwa unabisha. Lakini ukweli ni kuwa kuweka watu milioni 2.1 beach si mchezo.
mwaka 1994 watu 3.5m walijazana hapohapo coppacabana kwa tamasha la Rod Stewart la kuupokea mwaka 95 na ndio tamasha lililovunja record ya dunia mpaka leo , so wabrazili wanajua ku party
 
Don't call my name..Dont't call my name..Alejandro...

#Hata mimi niliwahi kuporwa simu na Kibaka nikiwa hivi hivi Mkuu wa Mkoa.
 
mwaka 1994 watu 3.5m walijazana hapohapo coppacabana kwa tamasha la Rod Stewart la kuupokea mwaka 95 na ndio tamasha lililovunja record ya dunia mpaka leo , so wabrazili wanajua ku party
Hao wakalana sana Brazzers😀😀😀
 
😃😃😃 taifa tu uwanja ukijaa 60K huwa nahisi kama nipo ulimwengu mwingine, sasa sijui hapo kwenye 2.1m hapo unachukua watu wa Arusha wote unapeleka beach 🤣
Kuna mikoa kama Ruvuma uko idadi yao haifiki Milion 1.5 imagine sasa
 
Back
Top Bottom