Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump yule yule aliyezitukana nchi za Afrika?
realdonaldtrumpMbona nimeisearch account siioni?
Sasa iko 9.3mil kutoka 0Kutoka ngapi?
Hii hapaMbona nimeisearch account siioni?
Sahihi, ni 'kijiwe' chake alichowekeza $44 billion ni fedha ndefu sana hiyo. Acha ashinde 'kijiweni'Mask siku hizi anashinda twitter...
Kwani wale followers wake walienda wapi mpaka aanzie 0?Sasa iko 9.3mil kutoka 0
Link hiyo hapo tayari kwa masaa machache ameshafikisha Followers zaidi ya 20milMbona nimeisearch account siioni?
kuna hz mnazo za kusema mtu fulan kafanya mtu achaguliwe , ina maana wamarekan hawajitambui kumchagua mtu kisa Obama ? huu ujinga upo Afrika tu , wenzetu wanaheshimu sana mitizamo yao , Drump asingetoboa hata Obama angekuwa jela , mnamshabikia huku tu ila huyo jamaa ana mawenge sana hakupaswa kuingia ikulu nzito km ya USAObama anasiasa za kiafrika yaani alipiga kampeni za kibaguzi ili biden ashinde kwa watu weusi
km waafrika tuMablack americans hayajitambui...yanapiga kura kama manyumbu kwa mkumbo
Hayaangalii sera ipi inawafaa...yanaangalia tu weusi wako upande upi, na mengi yanajinasibisha Democratic
Trick alio tumia, hata wale waliojitoa juzi, akina audi na wenzie watarudi na watalipia tu blue tickElon ana upeo mkubwa sana, nikisoma tweets zake nazidi kuthibitisha hilo.
Jamaa ana akili kubwa ya kibiashara, anajua wapi soko lake lilipo na vipi awafikie watu, kwa kumrudisha Trump tayari ameongeza idadi wa watumiaji wa twitter duniani ambao ni wafuasi wa Trump, moreover; hajamrudisha kwa nguvu, ametumia nguvu ya kura iamue na ndio ikaamua, akili zaidi.
Hapo alitoa uhuru kwa watu kupiga kura, ili mawazo hasi kama haya yako yasipate nafasi, kama wengi wanamtaka awape, na kama wengi hawamtaki aache akijua Trump hatakuwa na maajabu, then wengi wakaamua kwa kura Trump arudishwe twitter... na twitter inazidi kupata wafuasi!.
Hapo hakuna cha white wala black supremacy, simply democracy imeamua Trump arudishwe twitter. Huyu Elon sio tajiri kwa bahati mbaya, anajitambua haswa.
Kosa pekee la Trump ni kusema ukweli kupita kiasi.Ametukana au amesema ukweli?
Kabla alikuwa na ngapi?Link hiyo hapo tayari kwa masaa machache ameshafikisha Followers zaidi ya 20mil
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
kuna hz mnazo za kusema mtu fulan kafanya mtu achaguliwe , ina maana wamarekan hawajitambui kumchagua mtu kisa Obama ? huu ujinga upo Afrika tu , wenzetu wanaheshimu sana mitizamo yao , Drump asingetoboa hata Obama angekuwa jela , mnamshabikia huku tu ila huyo jamaa ana mawenge sana hakupaswa kuingia ikulu nzito km ya USA
Kweli kabisa trump si mnafikiBiden ni Rais dhaifu.
Obama niwale wale tu nachokubali trump sio mnafikiObama anasiasa za kiafrika yaani alipiga kampeni za kibaguzi ili biden ashinde kwa watu weusi