Watu milioni 7.8 wataka Trump arudi Twitter, Elon akubali kumrejesha

Obama anasiasa za kiafrika yaani alipiga kampeni za kibaguzi ili biden ashinde kwa watu weusi
kuna hz mnazo za kusema mtu fulan kafanya mtu achaguliwe , ina maana wamarekan hawajitambui kumchagua mtu kisa Obama ? huu ujinga upo Afrika tu , wenzetu wanaheshimu sana mitizamo yao , Drump asingetoboa hata Obama angekuwa jela , mnamshabikia huku tu ila huyo jamaa ana mawenge sana hakupaswa kuingia ikulu nzito km ya USA
 
Haya sasa ni muda wa kushuhudia machambo kutoka kwa trump kwenda kwa babu yetu Biden
 
Mablack americans hayajitambui...yanapiga kura kama manyumbu kwa mkumbo
Hayaangalii sera ipi inawafaa...yanaangalia tu weusi wako upande upi, na mengi yanajinasibisha Democratic
km waafrika tu
 
Trick alio tumia, hata wale waliojitoa juzi, akina audi na wenzie watarudi na watalipia tu blue tick
 
Ushindi wa kisiasa una mambo mengi mkuu
 
Elon Musk restored the Twitter account of former president Donald Trump on Saturday, a pivotal move that could help the platform’s once loudest, bluntest force regain online attention just as a new presidential election begins.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…