Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Mbagala alipigishwa show bure na akazomewa, yeye na Zuchu wake
Mbagala alipigishwa show bure na akazomewa, yeye na Zuchu wake
Anamiliki continent. Sema ndio ivo.alikiba je
Malizia kua show yake moja no dk 43 kuanzia march 2023 going forwardMtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.
View attachment 2640927
Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Kisiwa kipi? Diamond alinunua plot beach kigambon hicho kisiwa alichonunua ni kipi? Hao africa face zone sources wametoa wikipedia🤣😂Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.
View attachment 2640927
Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Au kisiwani ya kipunguni
labda kisiwa cha nyumbani kwenu