Watu mna siri sana. Kumbe Diamond Platnumz anamiliki Kisiwa na hamsemi?

cocastic hebu njoo utuambie ukweli wa hii habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Domokayaaa ana kisiwa kipii?? Cha madalee au? Alete [emoji3575] kwani, maana toka atuahidi hadi leo hata tairi hatuoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

View attachment 2640927

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Yaani duniani kuna mambo unakuta Proffessor Lofa Diamond na uchizi wake bilionea
 
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

View attachment 2640927

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Itakuwa mwananyamala kisiwani
 
HAO WASANII WENU HAWANA FEDHA MSIDANGANYWE.
MBONA MNAKUWA WAPUMBAVU KIASI HICHO??????

HIVI MTU MWENYE HELA

1. Kwanini asijenge hata hotel ya Nyota tatu au Tano Dar es salaam.

2. Kwanini Asiwe hata na kumbi za starehe au night KLABU Dar se salaam au hata kuwa na branch mikoani.

3. Kwanini Asiwe hata na maji, Biscuit karanga etc.

4. Kwanini Asiwe na mashamba estate tukaziona????

5. KWANINI ASIWE NA UWEKEZAJI WOWOTE NA KUUTANGAZA BIASHARA ZAKE.

Mimi miradi ya JD naijua
JD ndio msanii mwenye Fedha na UWEKEZAJI zaidi Tanzania.

DIAMOND KARANGA TU ZILIMSHINDA.
FICHENI UJINGA.
WAPELEKENI WATOTO WENU SHULE.

HUYO MSANII WENU NI KAPUKU.
Bila shaka hii ndio ID ya JD humu JF.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Domokayaaa ana kisiwa kipii?? Cha madalee au? Alete [emoji3575] kwani, maana toka atuahidi hadi leo hata tairi hatuoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndege kanunu sema tiyaraeii ndio wamemkwamisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

(aliskika mlevi mmoja wa chibuku akiongea [emoji23])
 
Kwamba hapandi stejini bila 250mili[emoji23][emoji23]

Hii nadhani hata wasafi wenyewe watashindwa kuandaa show ili alipwe pesa hii.
 
HAO WASANII WENU HAWANA FEDHA MSIDANGANYWE.
MBONA MNAKUWA WAPUMBAVU KIASI HICHO??????

HIVI MTU MWENYE HELA

1. Kwanini asijenge hata hotel ya Nyota tatu au Tano Dar es salaam.

2. Kwanini Asiwe hata na kumbi za starehe au night KLABU Dar se salaam au hata kuwa na branch mikoani.

3. Kwanini Asiwe hata na maji, Biscuit karanga etc.

4. Kwanini Asiwe na mashamba estate tukaziona????

5. KWANINI ASIWE NA UWEKEZAJI WOWOTE NA KUUTANGAZA BIASHARA ZAKE.

Mimi miradi ya JD naijua
JD ndio msanii mwenye Fedha na UWEKEZAJI zaidi Tanzania.

DIAMOND KARANGA TU ZILIMSHINDA.
FICHENI UJINGA.
WAPELEKENI WATOTO WENU SHULE.

HUYO MSANII WENU NI KAPUKU.
Hayo ya kuwa na fedha au kutokuwa na fedha ni ngum kuthibitisha,hzo list za biashara au uwekezaji ulizotaja sio lazima mtu apitie humo peke yake.Sio kila mtu anaona hotel au real estate ni biashara nzuri kama unavyoona wewe.Beside wengine wanaogopa hzo biashara za kivivu zenye initial cost kubwa kama real estate.Mbona ana hyo wasafi bet na ni kubwa tu,hzo radio na tv we unaona sio uwekezaji?,hata huo mziki wenyewe si ni biashara pia,au unataka afanye unazoziona wewe.
 
HAO WASANII WENU HAWANA FEDHA MSIDANGANYWE.
MBONA MNAKUWA WAPUMBAVU KIASI HICHO??????

HIVI MTU MWENYE HELA

1. Kwanini asijenge hata hotel ya Nyota tatu au Tano Dar es salaam.

2. Kwanini Asiwe hata na kumbi za starehe au night KLABU Dar se salaam au hata kuwa na branch mikoani.

3. Kwanini Asiwe hata na maji, Biscuit karanga etc.

4. Kwanini Asiwe na mashamba estate tukaziona????

5. KWANINI ASIWE NA UWEKEZAJI WOWOTE NA KUUTANGAZA BIASHARA ZAKE.

Mimi miradi ya JD naijua
JD ndio msanii mwenye Fedha na UWEKEZAJI zaidi Tanzania.

DIAMOND KARANGA TU ZILIMSHINDA.
FICHENI UJINGA.
WAPELEKENI WATOTO WENU SHULE.

HUYO MSANII WENU NI KAPUKU.
Ukiwa chawa wake kuvijua vyote hivyo kama ana miliki au laah ni ndani ya siku tatu tu, kwahiyo me nakushauri we kuwa chawa wake uone.
 
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

View attachment 2640927

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Wamesahau kuweka ile helicopter ambayo bado iko hewani tangu ilipoanza safari.
Kisiwa gani hicho anachomiliki? Sema jamaa fighter na ameweza.
Kuna mtandao nilishangaa ulitoa list ya wasanii wenye pesa nyingi afrika mashariki wakamweka jay d na professor jay wakawa wanaandika vitu vya kufikirika sijui walikuwa wanachukua story za instagram.
 
Mashabiki wa diamond hawana tofauti sana na mashabiki wa yanga.
 
HAO WASANII WENU HAWANA FEDHA MSIDANGANYWE.
MBONA MNAKUWA WAPUMBAVU KIASI HICHO??????

HIVI MTU MWENYE HELA

1. Kwanini asijenge hata hotel ya Nyota tatu au Tano Dar es salaam.

2. Kwanini Asiwe hata na kumbi za starehe au night KLABU Dar se salaam au hata kuwa na branch mikoani.

3. Kwanini Asiwe hata na maji, Biscuit karanga etc.

4. Kwanini Asiwe na mashamba estate tukaziona????

5. KWANINI ASIWE NA UWEKEZAJI WOWOTE NA KUUTANGAZA BIASHARA ZAKE.

Mimi miradi ya JD naijua
JD ndio msanii mwenye Fedha na UWEKEZAJI zaidi Tanzania.

DIAMOND KARANGA TU ZILIMSHINDA.
FICHENI UJINGA.
WAPELEKENI WATOTO WENU SHULE.

HUYO MSANII WENU NI KAPUKU.
Kapuku mwenye rolls royce 😅😅😅😅😅 sawasawa hata mimi naona ww ni mpumbavu sana mkuu, you are stupid than stupid ever,

Yaaaani we ni mpumbavu kuliko unavyojua Upumbavu, stupidddddd. In SSH voice,

Kama we ni mtu mzima nakuonea huruma akili za mtoto wa 12, years hizi kabisa,

Idiotic point
 
Back
Top Bottom