Nani alianza kumponda mwenzake ?au umesahau Kiba kipindi anarudi kimziki alivyokuwa akimponda Diamond (Mkasi na Sporah) mpaka Mondi akafanyiwa Zengwe Kili Music na kuzomewa Fiesta.Ila cha ajabu tuzo waliomnyima Kili ya best peformer TZ akaenda kupewa ya best performer Africa 2015 na MTV plus BET nomination.
Kuanzia hapo Mondi nae kaanza kujibu mapigo.
Ila siku hizi (ana zaidi ya miaka 2) Mondi hajibu, Harmonize na crew lake la HBaba,Diva na Mwijaku kila siku wanaponda wanategemewa kujibiwa ila Mondi kimya,Ommy Dimpozi nae siku hizi hawa mjibu hata huyu nae na nyimbo yake atakaushiwa.
Kwani Mondi sasa hivi ana mambo mengi ya kufanya kwa label yake ya WCB na kampuni yake ya Wasafi Media alafu ni ligi mbili tofauti,mmoja anang'ang'ania U-KING,Diamond anafikiria kutanua mziki wake ufike mbali mpaka sasa ukitoa nchi za kiarabu Diamond kishapiga show karibia 90% ya nchi zote za Africa.