Watu mnalazimisha nyeusi kuwa nyeupe Harmonize hawezi kuwa msanii mkubwa zaidi ya Kiba

Watu mnalazimisha nyeusi kuwa nyeupe Harmonize hawezi kuwa msanii mkubwa zaidi ya Kiba

Watu wanashindwa kuelewa kua Kiba yupo kwenye mziki toka 2002/2003 mond akiwa bado primary sasa how comes kiba atumie mgongo wa mond vipi kipindi ambacho mond hakuepo alitumia mgongo wa nan
Primary [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakati kiba niwa1986 na diamond 1989 means kiba akiwa la 7 diamond la 4 wote primary [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nani kashawahi kununua album ya mmoja kati ya hao mnaowataja??? Bora mimi nilinunua album ya rafiki..mr nice na machozi ya jd
 
Back
Top Bottom