sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hata Magufuli aligawa kofia 3 za mwanzo kwa top 3.. Alianza kwa nani, akafata nani na nani akawa wa tatu [emoji23][emoji23]Harmonize Ana ukubwa gani wa show za twist za Bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Tunajua Harmonize ni mpango wa Wcb against Kiba alafu mnasema hamumuogop Kiba hahahaha nyimbo moja tu mpaka Sasa sijui yule mla panya yuko wapYeah baada ya miaka 1000
Kama ndio ivyo basi msanii mkubwa Tanzania ni Mrisho MpotoHata Magufuli aligawa kofia 3 za mwanzo kwa top 3.. Alianza kwa nani, akafata nani na nani akawa wa tatu [emoji23][emoji23]
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
kumbe ulikuwa hujui [emoji23][emoji23] kwahio alianza mpoto akaja diamond akamalizia Harmonize ila baada ya hapo hata kina meja kunta na kiba walipewaKama ndio ivyo basi msanii mkubwa Tanzania ni Mrisho Mpoto
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ukubwa wa Harmonize unatokana na Nini msanii embu mtujibu au kua na dem mzungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe ulikuwa hujui [emoji23][emoji23] kwahio alianza mpoto akaja diamond akamalizia Harmonize ila naskia baada ya hapo wadogo wadogo
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Ukubwa wake unaanza pale ambapo mashabiki wa wasanii wadogo wadogo kama kina meja kunta na kiba kama wewe mnapomfatilia zaidi kuzidi wasanii wenu.Ukubwa wa Harmonize unatokana na Nini msanii embu mtujibu au kua na dem mzungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kiba ni King wa bongofleva..Mondi anapiga kelele kama wanaija mf baba laoNani alianza kumponda mwenzake ?au umesahau Kiba kipindi anarudi kimziki alivyokuwa akimponda Diamond (Mkasi na Sporah) mpaka Mondi akafanyiwa Zengwe Kili Music na kuzomewa Fiesta.Ila cha ajabu tuzo waliomnyima Kili ya best peformer TZ akaenda kupewa ya best performer Africa 2015 na MTV plus BET nomination.
Kuanzia hapo Mondi nae kaanza kujibu mapigo.
Ila siku hizi (ana zaidi ya miaka 2) Mondi hajibu, Harmonize na crew lake la HBaba,Diva na Mwijaku kila siku wanaponda wanategemewa kujibiwa ila Mondi kimya,Ommy Dimpozi nae siku hizi hawa mjibu hata huyu nae na nyimbo yake atakaushiwa.
Kwani Mondi sasa hivi ana mambo mengi ya kufanya kwa label yake ya WCB na kampuni yake ya Wasafi Media alafu ni ligi mbili tofauti,mmoja anang'ang'ania U-KING,Diamond anafikiria kutanua mziki wake ufike mbali mpaka sasa ukitoa nchi za kiarabu Diamond kishapiga show karibia 90% ya nchi zote za Africa.
Kumbe wewe Ni mshabiki wa utopolo nilikuwa sijuiKiba ni King wa bongofleva..Mondi anapiga kelele kama wanaija mf baba lao
Harmonize toka Lin akawa namba moja trend kama Kiba na Mond wametoa nyimbo??? Pia harmonize kutafuta Milion now mpaka wiki mbili zinafika angalia Kiba katoa Jana now Ana laki saba analia midia na vyombo vya habar page za udaku ndio utamjua Kiba ni NanUkubwa wake unaanza pale ambapo mashabiki wa wasanii wadogo wadogo kama kina meja kunta na kiba kama wewe mnapomfatilia zaidi kuzidi wasanii wenu.
Kwa sasa alikiba ashachuja, ngoma yake tangu itoke juzi haijashika namba moja youtube, kielelezo tosha watanzania hawana muda nae
Lebo ya konde Ina ukubwa Gan???? Mbona hutumii akil kuandika embu Tuambie wasanii wa konde Wana mafanikio Gan au kua Lebo kubwa ni kua na Wasanii weng wasio na maanakatika mastaa wenye wakati mgumu kwa sasa bongo basi ni kiba, kinachompa stress zaidi ni kuzidiwa hadi na mmakonde coz kwa sasa ukiitoa wcb, label kubwa inayofuata bongo ni konde music akati label yake ni ya kitambo bt haina msanii hata anaeeleweka
kiba ni msanii mzuri bt anapaswa kuacha kufanya kazi kimazoea ili aendelee kua bora tofauti na hapo atachukia watu bure
Alikiba hawez kua na wakat ngum sababu ya Aina ya Mashabiki wake alio kua naokatika mastaa wenye wakati mgumu kwa sasa bongo basi ni kiba, kinachompa stress zaidi ni kuzidiwa hadi na mmakonde coz kwa sasa ukiitoa wcb, label kubwa inayofuata bongo ni konde music akati label yake ni ya kitambo bt haina msanii hata anaeeleweka
kiba ni msanii mzuri bt anapaswa kuacha kufanya kazi kimazoea ili aendelee kua bora tofauti na hapo atachukia watu bure
kama akili yako inafanya kazi, ukiulizwa kati ya konde music na king music ni label gani kubwa utachagua king music? king music imeizidi ukongwe tu konde musicLebo ya konde Ina ukubwa Gan???? Mbona hutumii akil kuandika embu Tuambie wasanii wa konde Wana mafanikio Gan au kua Lebo kubwa ni kua na Wasanii weng wasio na maana
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ukubwa upi unao usemea wewe kua na Wasanii wengi au? Ivi Kat ya ibra na tomy flavor yupi msanii mkubwa???kama akili yako inafanya kazi, ukiulizwa kati ya konde music na king music ni label gani kubwa utachagua king music? king music imeizidi ukongwe tu konde music
Kati ya ibra na Tomy flavor ,na mwenye wafuasi wengi kwenye all social mediaUkubwa upi unao usemea wewe kua na Wasanii wengi au? Ivi Kat ya ibra na tomy flavor yupi msanii mkubwa???
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
kwa mujibu wa music platform ibra ni mkubwaUkubwa upi unao usemea wewe kua na Wasanii wengi au? Ivi Kat ya ibra na tomy flavor yupi msanii mkubwa???
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hahaha wafuas ndio ukubwa ficha ujinga mkuu tuangalie msanii anae uza kazi zake kwa wing Kati ya ibra na tomy flavorKati ya ibra na Tomy flavor ,na mwenye wafuasi wengi kwenye all social media
Wewe ambaye si mjinga tuambia msanii wa tanzania anauza mzuki kupitia platform zipi je uko Kati ya ibrah na Tomy nani mwenye streem wengiHahaha wafuas ndio ukubwa ficha ujinga mkuu tuangalie msanii anae uza kazi zake kwa wing Kati ya ibra na tomy flavor
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Basi tukubaliane mtaji wa msanii ni wafuasi ivyo hibra na Tomy, hibra ni mkubwa kimziki ila ni mdogo kiumri kwenye mzkikwa mujibu wa music platform ibra ni mkubwa