Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Right on,
wanachotaka wao kusema hapa ni kuwa watu muhimu katika historia yetu ni waislam au watu wa pwani pekee
ukisoma colonial history utaelewa ni watu wa dini gani Tanzania walikuwa karibu na wakoloni...na walisomeshwa na nani
Right on,
wanachotaka wao kusema hapa ni kuwa watu muhimu katika historia yetu ni waislam au watu wa pwani pekee
Mwafrika:
Watu walioishi mijini ndio walio-influence mambo. Hata leo waTanzania wakitaka kufanya mabadiliko, ni watu waishio DSM kwa sasa watakaokuwa na influence.
Ukienda South Africa, watu wa Soweto walikuwa na influence kubwa kwenye mabadiliko.
fundamentalism na one sidedness hii ya game theory ndiyo iliyomfanya yule mchumi aliyesoma princeton, kwa jina la kighoma ali malima afanye kazi kama mtu asiye elimu mara nyingine.
Haya mambo ya dini saa nyingine ovyo kabisa, yana wa cloud watu wengine ambao otherwise wangekuwa brilliant, that's why when it comes to dini i am like loso my attitude is celibate, i don't give a fcuk.
mzee sijakuelewa hebu fafanua unaamana gani hapo?
Mwafrika:
Watu walioishi mijini ndio walio-influence mambo. Hata leo waTanzania wakitaka kufanya mabadiliko, ni watu waishio DSM kwa sasa watakaokuwa na influence.
Ukienda South Africa, watu wa Soweto walikuwa na influence kubwa kwenye mabadiliko.
Nimemtaja Balozi Paul Bomani na movement nzima ya vyama vya ushirika nyanda za ziwa, kuna movement ya vyama vya ushirika Kilimanjaro kuna watu wengi tu ambao hawakuwa Dar wala mijini na walichangia sana katika kuleta uhuru na maendeleo.Hii dhana ya kwamba uhuru umeletwa na watu wa mijini ni finyu na potofu.
Sijasema kuwa watu wa mjini walileta uhuru. Nimesema wana-influence mabadiliko. Hiyo sio zana potofu na sio finyu.
Usitake kupindisha kile nilichosema.
Kwa tafsiri yako, mjini unamaanisha ukanda wa pwani pekee? - unachukulia vipi mifano uliyopewa hapo ya mambo yaliyofanyika uchagani, usukumani, kwa wahehe nk?
Unapotoa mfano wa South Africa, je unaweza pia kuainisha wa Kenya ambao watu wa vijijini (mau mau soldiers) ndio walifanya blow kubwa kwa setlaz kwa kiingereza?
Labda utoe tafsiri yako au context yako ya watu wa mijini maana si kote afrika au duniani ambako watu wa mijini walifanya yote hayo!
Sijasema kuwa watu wa mjini walileta uhuru. Nimesema wana-influence mabadiliko. Hiyo sio zana potofu na sio finyu.
Usitake kupindisha kile nilichosema.
Mwafrika:
Watu walioishi mijini ndio walio-influence mambo. Hata leo waTanzania wakitaka kufanya mabadiliko, ni watu waishio DSM kwa sasa watakaokuwa na influence.
Ukienda South Africa, watu wa Soweto walikuwa na influence kubwa kwenye mabadiliko.
kumtawala mtu mwenye misimamo ya kidini kila pahala kama GT ni kazi rahisi sana.......wewe tembea na misahafu,hesabu tasbii kwa sana,vaa kanzu kubwaa,sijda kubwaa alafu anza kumjaza ujinga.....Fundamentalism na one sidedness hii ya Game Theory ndiyo iliyomfanya yule mchumi aliyesoma Princeton, kwa jina la Kighoma Ali Malima afanye kazi kama mtu asiye elimu mara nyingine.
Labda utoe tafsiri yako au context yako ya watu wa mijini maana si kote afrika au duniani ambako watu wa mijini walifanya yote hayo!
Marehemu Tewa Said alipata kueleza kwamba siku ile kabla ya uchaguzi pale Arnatouglo Hall, kwamba Abdulwahid alikwenda nyumbani kwake jioni. Wakati huo Tewa akikaa mtaa wa Pemba si mbali sana toka nyumbani kwa Abdulwahid. Abdulwahid alimwambia Tewa kuhusu mabadiliko ya uongozi ambayo waliamua yafanyike kwenye chama cha TAA...Bwana Tewa, kesho tunakwenda kumpa huyu mtu, Nyerere, mamlaka ya kuendesha nchi hii. Kuanzia hapo, mara tu tutakapomchagua kutuongoza hakuna namna ya kumnyang'anya mamlaka hayo. Hatumfahamu vizuri sana lakini natumaini kila kitu kitakwenda vizuri....
the rest is history....
Na mzee Tewa alikuwa anasema kuwa kitu pekee alichokuwa nacho Nyerere zaidi ya Abdulwahid kilikuwa ile digrii ya chuo kikuu....Ninaamini kama Abdulwahid angekwenda Makerere wazee wangeunda chama cha TANU mapema zaidi, labda kabla ya mwaka 1954 na Abdulwahid angekuwa rais, hata kama angeshindana na Nyerere....lakini historia ilichukua mrengo tofauti
Unalinganisha embe na mapera sasa. Watu wa mjini wanaishi karibu karibu na ni rahisi wa kuwa-network. Na mfano mkubwa ni vyama vya upinzani Tanzania, wanapata wafuasi wengi mijini kuliko vijijini.
Maisha ya uchagani sio kama ya vijiji vingine Tanzania. Ni watu wenye kiwango kikubwa cha elimu na walidahi uhuru wao kama wachagga.