Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

Right on,

wanachotaka wao kusema hapa ni kuwa watu muhimu katika historia yetu ni waislam au watu wa pwani pekee

ukisoma colonial history utaelewa ni watu wa dini gani Tanzania walikuwa karibu na wakoloni...na walisomeshwa na nani
 
Yes,

1. waislam walikuwa karibu na wakoloni wa kiarabu (najua unaelewa kuwa hata waarabu waliikolonaizi Tanganyika na wakafanya biashara haramu kabisa duniani ya utumwa).

2. wakristo walikuwa karibu na wakoloni wa kizungu.

Au wewe historia yako inasemaje?
 
Fundamentalism na one sidedness hii ya Game Theory ndiyo iliyomfanya yule mchumi aliyesoma Princeton, kwa jina la Kighoma Ali Malima afanye kazi kama mtu asiye elimu mara nyingine.

Haya mambo ya dini saa nyingine ovyo kabisa, yana wa cloud watu wengine ambao otherwise wangekuwa brilliant, that's why when it comes to dini I am like Loso my attitude is celibate, I don't give a fcuk.
 
Right on,

wanachotaka wao kusema hapa ni kuwa watu muhimu katika historia yetu ni waislam au watu wa pwani pekee

Mwafrika:

Watu walioishi mijini ndio walio-influence mambo. Hata leo waTanzania wakitaka kufanya mabadiliko, ni watu waishio DSM kwa sasa watakaokuwa na influence.

Ukienda South Africa, watu wa Soweto walikuwa na influence kubwa kwenye mabadiliko.
 
Nimemtaja Balozi Paul Bomani na movement nzima ya vyama vya ushirika nyanda za ziwa, kuna movement ya vyama vya ushirika Kilimanjaro kuna watu wengi tu ambao hawakuwa Dar wala mijini na walichangia sana katika kuleta uhuru na maendeleo.Hii dhana ya kwamba uhuru umeletwa na watu wa mijini ni finyu na potofu.
 
fundamentalism na one sidedness hii ya game theory ndiyo iliyomfanya yule mchumi aliyesoma princeton, kwa jina la kighoma ali malima afanye kazi kama mtu asiye elimu mara nyingine.

Haya mambo ya dini saa nyingine ovyo kabisa, yana wa cloud watu wengine ambao otherwise wangekuwa brilliant, that's why when it comes to dini i am like loso my attitude is celibate, i don't give a fcuk.

mzee sijakuelewa hebu fafanua unaamana gani hapo?
 
Mwafrika:

Watu walioishi mijini ndio walio-influence mambo. Hata leo waTanzania wakitaka kufanya mabadiliko, ni watu waishio DSM kwa sasa watakaokuwa na influence.

Ukienda South Africa, watu wa Soweto walikuwa na influence kubwa kwenye mabadiliko.

Kwa tafsiri yako, mjini unamaanisha ukanda wa pwani pekee? - unachukulia vipi mifano uliyopewa hapo ya mambo yaliyofanyika uchagani, usukumani, kwa wahehe nk?

Unapotoa mfano wa South Africa, je unaweza pia kuainisha wa Kenya ambao watu wa vijijini (mau mau soldiers) ndio walifanya blow kubwa kwa setlaz kwa kiingereza?
 
Nimemtaja Balozi Paul Bomani na movement nzima ya vyama vya ushirika nyanda za ziwa, kuna movement ya vyama vya ushirika Kilimanjaro kuna watu wengi tu ambao hawakuwa Dar wala mijini na walichangia sana katika kuleta uhuru na maendeleo.Hii dhana ya kwamba uhuru umeletwa na watu wa mijini ni finyu na potofu.

Sijasema kuwa watu wa mjini walileta uhuru. Nimesema wana-influence mabadiliko. Hiyo sio zana potofu na sio finyu.

Usitake kupindisha kile nilichosema.
 
Labda utoe tafsiri yako au context yako ya watu wa mijini maana si kote afrika au duniani ambako watu wa mijini walifanya yote hayo!
 
Marehemu Tewa Said alipata kueleza kwamba siku ile kabla ya uchaguzi pale Arnatouglo Hall, kwamba Abdulwahid alikwenda nyumbani kwake jioni. Wakati huo Tewa akikaa mtaa wa Pemba si mbali sana toka nyumbani kwa Abdulwahid. Abdulwahid alimwambia Tewa kuhusu mabadiliko ya uongozi ambayo waliamua yafanyike kwenye chama cha TAA...Bwana Tewa, kesho tunakwenda kumpa huyu mtu, Nyerere, mamlaka ya kuendesha nchi hii. Kuanzia hapo, mara tu tutakapomchagua kutuongoza hakuna namna ya kumnyang'anya mamlaka hayo. Hatumfahamu vizuri sana lakini natumaini kila kitu kitakwenda vizuri....

the rest is history....

Na mzee Tewa alikuwa anasema kuwa kitu pekee alichokuwa nacho Nyerere zaidi ya Abdulwahid kilikuwa ile digrii ya chuo kikuu....Ninaamini kama Abdulwahid angekwenda Makerere wazee wangeunda chama cha TANU mapema zaidi, labda kabla ya mwaka 1954 na Abdulwahid angekuwa rais, hata kama angeshindana na Nyerere....lakini historia ilichukua mrengo tofauti
 
Kwa tafsiri yako, mjini unamaanisha ukanda wa pwani pekee? - unachukulia vipi mifano uliyopewa hapo ya mambo yaliyofanyika uchagani, usukumani, kwa wahehe nk?

Unapotoa mfano wa South Africa, je unaweza pia kuainisha wa Kenya ambao watu wa vijijini (mau mau soldiers) ndio walifanya blow kubwa kwa setlaz kwa kiingereza?

Unalinganisha embe na mapera sasa. Watu wa mjini wanaishi karibu karibu na ni rahisi wa kuwa-network. Na mfano mkubwa ni vyama vya upinzani Tanzania, wanapata wafuasi wengi mijini kuliko vijijini.

Maisha ya uchagani sio kama ya vijiji vingine Tanzania. Ni watu wenye kiwango kikubwa cha elimu na walidahi uhuru wao kama wachagga.
 
Labda utoe tafsiri yako au context yako ya watu wa mijini maana si kote afrika au duniani ambako watu wa mijini walifanya yote hayo!

wakati ule wa 1950's Nyerere alionekana na baadhi ya wanachama kama si mwenzao na hawakumuunga chamani. Nyerere alikuwa mgeni mjini, alikuwa hana msingi wake mwenyewe wa kisiasa na kwa muda mrefu katika wiki alikuwa Pugu, akifundisha huku events mbali mbali zikimpita

Abdulwahid on the otherhand alikuwa mwenye kuonekana mara kwa mara, kama rais wa TAA aliifanya ofisi yake ipendeze. Alizoea kuwakaribisha watendaji wa TAA nyumbani kwake kwa chakula cha mchana na usiku na hili liliongeza umaarufu wake. Wakati huo wengi walidhani Nyerere asingefaa katika nafasi ile ya Abdulwahid.

Na Nyerere mwenyewe haya aliyakiri kuwa yeye alikaribishwa tuuu
 
Sijasema kuwa watu wa mjini walileta uhuru. Nimesema wana-influence mabadiliko. Hiyo sio zana potofu na sio finyu.

Usitake kupindisha kile nilichosema.

Zakumi umesema

Mwafrika:

Watu walioishi mijini ndio walio-influence mambo. Hata leo waTanzania wakitaka kufanya mabadiliko, ni watu waishio DSM kwa sasa watakaokuwa na influence.

Ukienda South Africa, watu wa Soweto walikuwa na influence kubwa kwenye mabadiliko.

Ukisema watu wa mijini waliinfluence mabadiliko, either by omission unamaanisha watu wa vijijini hawaku influence mabadiliko, which essentially amount to the same thing (ku influence mabadiliko in this particular case ni kuinfluence and eventually kuleta uhuru, no spin zone hapa, nani anapindisha sasa?) au unaleta half truth kama the entire truth, which does not do justice to half of the story.

Afrika idadi kubwa ya watu wanaishi vijijini, kwa hiyo usitake kuwa discount kama dagaa hawa.Umepewa mifano ya cooperative unions za huko Nyanza na Kilimanjaro na jinsi zilivyo influence formation ya TANU kwa kuwa grassroot bases nzuri tu, hazikuwa za mjini hizi, hizi zilikuwa cooperative unions za wakulima, unataka kubishana na historia?
 
Fundamentalism na one sidedness hii ya Game Theory ndiyo iliyomfanya yule mchumi aliyesoma Princeton, kwa jina la Kighoma Ali Malima afanye kazi kama mtu asiye elimu mara nyingine.
kumtawala mtu mwenye misimamo ya kidini kila pahala kama GT ni kazi rahisi sana.......wewe tembea na misahafu,hesabu tasbii kwa sana,vaa kanzu kubwaa,sijda kubwaa alafu anza kumjaza ujinga.....
 
Marehemu Tewa Said alipata kueleza kwamba siku ile kabla ya uchaguzi pale Arnatouglo Hall, kwamba Abdulwahid alikwenda nyumbani kwake jioni. Wakati huo Tewa akikaa mtaa wa Pemba si mbali sana toka nyumbani kwa Abdulwahid. Abdulwahid alimwambia Tewa kuhusu mabadiliko ya uongozi ambayo waliamua yafanyike kwenye chama cha TAA...Bwana Tewa, kesho tunakwenda kumpa huyu mtu, Nyerere, mamlaka ya kuendesha nchi hii. Kuanzia hapo, mara tu tutakapomchagua kutuongoza hakuna namna ya kumnyang'anya mamlaka hayo. Hatumfahamu vizuri sana lakini natumaini kila kitu kitakwenda vizuri....

the rest is history....

Na mzee Tewa alikuwa anasema kuwa kitu pekee alichokuwa nacho Nyerere zaidi ya Abdulwahid kilikuwa ile digrii ya chuo kikuu....Ninaamini kama Abdulwahid angekwenda Makerere wazee wangeunda chama cha TANU mapema zaidi, labda kabla ya mwaka 1954 na Abdulwahid angekuwa rais, hata kama angeshindana na Nyerere....lakini historia ilichukua mrengo tofauti

Wewe sasa unataka kwenda kwenye realm ya alternate history, which is more suited to fiction than history. ingekuwa hivi, ingekuwa hivi huwezi kujua, kuna ma butterfly effect mangapi yangetokea hapo kati? The whole thing becomes a joke for any sane person to contemplate.
 
Unalinganisha embe na mapera sasa. Watu wa mjini wanaishi karibu karibu na ni rahisi wa kuwa-network. Na mfano mkubwa ni vyama vya upinzani Tanzania, wanapata wafuasi wengi mijini kuliko vijijini.

Maisha ya uchagani sio kama ya vijiji vingine Tanzania. Ni watu wenye kiwango kikubwa cha elimu na walidahi uhuru wao kama wachagga.

Naona sasa wewe ndio unalinganisha embe na mapera. Unataka kuongelea hali ya sasa (ambako hata mimi naungana nawe kuwa watu wa mijini wana influence mambo vyema kuliko wa vijijini) na ile ya wakati wa ukoloni.

Si kweli kuwa watu wa ukanda wa pwani pekee ndio wa muhimu katika historia ya Tanzania. Katika hili bado hujaweka wazi kuhusika kwao kulivyo tofauti na wachaga au wahehe.

Ulitoa mfano wa Soweto mimi nikakupa mfano wa mau mau na ninakuongezea frelimo.
 
Back
Top Bottom