jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa.
1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa)..
2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye kama mhe.DC anamuuliza issue)
3-Mzee Dakharo alikuwa mkuu wa wilaya ya Arusha
4-Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dr PIMA.
5-Mwanasheria mmoja mkoani Tanga (alisema degree yake ni ya chupi)
Sitaki kumchongea ila tabia yake hii ya kuwadhalilisha watu wasio na mawaa inakera kiasi cha kwamba inafanya baadhi ya watu wafurahie spana alizopigwa na Makonda.
Nadhani ni muda na muafaka kwake kubadili au kupunguza hulka hii chafu.