njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Wengi wanamuhukumu Makonda katika hili sababu ya makando kando yake mengine ila yule Gambo nae samjo kinoma anastahili hayo nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili nakuunga mkono. Gambo ni mfitini sana. Anapaswa na yeye anyweshwe kikombe alichowanyweshea wenzakeWapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa.
1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa)..
2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye kama mhe.DC anamuuliza issue)
3-Mzee Dakharo alikuwa mkuu wa wilaya ya Arusha
4-Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dr PIMA.
5-Mwanasheria mmoja mkoani Tanga (alisema degree yake ni ya chupi)
Sitaki kumchongea ila tabia yake hii ya kuwadhalilisha watu wasio na mawaa inakera kiasi cha kwamba inafanya baadhi ya watu wafurahie spana alizopigwa na Makonda.
Nadhani ni muda na muafaka kwake kubadili au kupunguza hulka hii chafu.
Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa.
1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa)..
2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye kama mhe.DC anamuuliza issue)
3-Mzee Dakharo alikuwa mkuu wa wilaya ya Arusha
4-Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dr PIMA.
5-Mwanasheria mmoja mkoani Tanga (alisema degree yake ni ya chupi)
Sitaki kumchongea ila tabia yake hii ya kuwadhalilisha watu wasio na mawaa inakera kiasi cha kwamba inafanya baadhi ya watu wafurahie spana alizopigwa na Makonda.
Nadhani ni muda na muafaka kwake kubadili au kupunguza hulka hii chafu.
Anasumbuliwa na majivuno ya kihaya.Anakacha vikao vya RCC yeye ni mjumbe na pia vya madiwani akiwa ni mjumbe kwa sababu ni mbunge wa Arusha mjini.
Kukwepa swali akaleta vikao vya Bunge wakati aliulizwa kuhusu vikao vya RCC na vya madiwani kwenye Halmashauri ya Jiji la Arusha. NI mtu wa visasi na majungu.
Manen ya mkosajHiyo ya kumpiga kibao, kama mimi ndio ningekuwa huyo daktari, yangekuwa mengine.
Najua ningelala jela, kazi ningepoteza, na misukosuko mingine, ila uso wake usingetamanika, mpaka watu wasogee ni aidha kapasuka ama anatema damu.
Kipind kile cha magu huwez kukosoaMbona nyie Ccm hamkumkanya aache hizo tabia ?
Usisahau pale stendi ndogo aliwadhalilisha wafanyabiashara na kwa kushirikiana na Makoy na Loken wakawanyang'anya mali zao. Wakawafilisi kabisa. Mpaka Leo lile eneo la serikali wanakula hela yeye na kina Makoi Morris. Aliyafanya hayo kutafuta political milleag
Kiukweli Gambo ni dalali wa hivyo vizimba hapo Arusha stand ndogo yeye na shokia na raia mmoja mwenyeji wa asia anaitwa MoizUsisahau pale stendi ndogo aliwadhalilisha wafanyabiashara na kwa kushirikiana na Makoy na Loken wakawanyang'anya mali zao. Wakawafilisi kabisa. Mpaka Leo lile eneo la serikali wanakula hela yeye na kina Makoi Morris. Aliyafanya hayo kutafuta political milleage
Mpaka waje kuamua, I'm sure Nisha mkata midomoHiyo ya kumpiga kibao, kama mimi ndio ningekuwa huyo daktari, yangekuwa mengine.
Najua ningelala jela, kazi ningepoteza, na misukosuko mingine, ila uso wake usingetamanika, mpaka watu wasogee ni aidha kapasuka ama anatema damu.
Jamaa nadhani kati ya mwaka 2012-2024 hapo. Alikwenda kushiriki mkutano wa vijana Nairobi nchini Kenya. Walifikia kwenye hoteli moja walioyoandaliwa na waandaaji wa mkutano, mida ya jioni, akaingia kitaa kutafuta kiburudisho.Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa.
1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa)..
2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye kama mhe.DC anamuuliza issue)
3-Mzee Dakharo alikuwa mkuu wa wilaya ya Arusha
4-Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dr PIMA.
5-Mwanasheria mmoja mkoani Tanga (alisema degree yake ni ya chupi)
Sitaki kumchongea ila tabia yake hii ya kuwadhalilisha watu wasio na mawaa inakera kiasi cha kwamba inafanya baadhi ya watu wafurahie spana alizopigwa na Makonda.
Nadhani ni muda na muafaka kwake kubadili au kupunguza hulka hii chafu.
Kweli kabisa, Moris Makoy ambae ni mwenyekit wa halmashauri ya Moshi vijijini, huyu anatumia cheo Cha CCM kuumiza watu...amenyang'anya watu Mali nyingi na anatetea Kila ofisi, Shokia mtumishi wa serikali na dalali, Mzee kwayu, Mzee mollel, Loken na moiz wote hawa wakishirikiana na Gambo ndo wafaidika wakuu wa hivyo vibanda. Wameumizwa watu sana, wamefilisi watu sana. Bahat mbaya wanatetewa kwa sababu Moris ni kiongozi mkubwa na Gambo Wana konekshen.Kiukweli Gambo ni dalali wa hivyo vizimba hapo Arusha stand ndogo yeye na shokia na raia mmoja mwenyeji wa asia anaitwa Moiz
Huyu Gambo huyu?? Anapenda bwerere😂😂😂. Alisema aliwekewa condom chafu yenye mafutaJamaa nadhani kati ya mwaka 2012-2024 hapo. Alikwenda kushiriki mkutano wa vijana Nairobi nchini Kenya. Walifikia kwenye hoteli moja walioyoandaliwa na waandaaji wa mkutano, mida ya jioni, akaingia kitaa kutafuta kiburudisho.
Baada ya kuburudika sijui akapandishiwa bei. Kinurudisho kikaleta varangati. Nduru na kelele zisizokuwa na mfano. Askari polisi ilibidi wamsombe akapelekwa selo.
Ilibidi waandaaji wa kongamano wamaadie kulipiq huduma na kumtoa rumande.
Kuna siku Chingolo akiwa DC huko longido alimkamata Kabali, alikuwa amchape vibao...kamati ya ulinzi ya usalama mkoa iliwaamua😂😂. Angeendelea kubaki na Daqaro lazima Daqaro angemkata kelbuMpaka waje kuamua, I'm sure Nisha mkata midomo