Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Vijana wa UVCCM hao, Makonda, Gambo, Shigella, mhe Hussein Bashe nk. Ulikua ndio umri wao enzi za JKHivi ilikuaje huyu jamaa akawa kiongozi wa umma?jiwe alimuokota wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa UVCCM hao, Makonda, Gambo, Shigella, mhe Hussein Bashe nk. Ulikua ndio umri wao enzi za JKHivi ilikuaje huyu jamaa akawa kiongozi wa umma?jiwe alimuokota wapi?
bro mimi uki nizingua hata uwe mkuu wa. Kituo, tuta yamaliza tu.Kweli kabisa, Moris Makoy ambae ni mwenyekit wa halmashauri ya Moshi vijijini, huyu anatumia cheo Cha CCM kuumiza watu...amenyang'anya watu Mali nyingi na anatetea Kila ofisi, Shokia mtumishi wa serikali na dalali, Mzee kwayu, Mzee mollel, Loken na moiz wote hawa wakishirikiana na Gambo ndo wafaidika wakuu wa hivyo vibanda. Wameumizwa watu sana, wamefilisi watu sana. Bahat mbaya wanatetewa kwa sababu Moris ni kiongozi mkubwa na Gambo Wana konekshen.
Unadhani nani hapo angeshinda kwa TKO.Kuna siku Chingolo akiwa DC huko longido alimkamata Kabali, alikuwa amchape vibao...kamati ya ulinzi ya usalama mkoa iliwaamua😂😂. Angeendelea kubaki na Daqaro lazima Daqaro angemkata kelbu
Huyu Morris Makoy namsikia sana akitajwa huko moshi anaonekana ni fighter wa Siasa na Biashara.Kweli kabisa, Moris Makoy ambae ni mwenyekit wa halmashauri ya Moshi vijijini, huyu anatumia cheo Cha CCM kuumiza watu...amenyang'anya watu Mali nyingi na anatetea Kila ofisi, Shokia mtumishi wa serikali na dalali, Mzee kwayu, Mzee mollel, Loken na moiz wote hawa wakishirikiana na Gambo ndo wafaidika wakuu wa hivyo vibanda. Wameumizwa watu sana, wamefilisi watu sana. Bahat mbaya wanatetewa kwa sababu Moris ni kiongozi mkubwa na Gambo Wana konekshen.
Daqaro ntu ya system 🤣🤣🤣..Kuna siku Chingolo akiwa DC huko longido alimkamata Kabali, alikuwa amchape vibao...kamati ya ulinzi ya usalama mkoa iliwaamua😂😂. Angeendelea kubaki na Daqaro lazima Daqaro angemkata kelbu
Makoy wa Aquiline hotel, au yule wa Pharmacy mwenye kesi ya kumuua mr Tembo?Huyu Morris Makoy namsikia sana akitajwa huko moshi anaonekana ni fighter wa Siasa na Biashara.
Gambo na makonda wanafanana kabisa tabiaWapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa.
1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa)..
2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye kama mhe.DC anamuuliza issue)
3-Mzee Dakharo alikuwa mkuu wa wilaya ya Arusha
4-Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dr PIMA.
5-Mwanasheria mmoja mkoani Tanga (alisema degree yake ni ya chupi)
Sitaki kumchongea ila tabia yake hii ya kuwadhalilisha watu wasio na mawaa inakera kiasi cha kwamba inafanya baadhi ya watu wafurahie spana alizopigwa na Makonda.
Nadhani ni muda na muafaka kwake kubadili au kupunguza hulka hii chafu.
Miaka mingi iliyo pita tukiwa A- level tukiwa tunajiandaa kufanya MITIHANI ya form six.Hiyo ya kumpiga kibao, kama mimi ndio ningekuwa huyo daktari, yangekuwa mengine.
Najua ningelala jela, kazi ningepoteza, na misukosuko mingine, ila uso wake usingetamanika, mpaka watu wasogee ni aidha kapasuka ama anatema damu.
wewe nakuaminia!Hiyo ya kumpiga kibao, kama mimi ndio ningekuwa huyo daktari, yangekuwa mengine.
Najua ningelala jela, kazi ningepoteza, na misukosuko mingine, ila uso wake usingetamanika, mpaka watu wasogee ni aidha kapasuka ama anatema damu.
Huyu anaemsema ni wa stand ndogo naona na ni kiongozi wa ccm huko halmashauri ya moshi. Wa tembo alimuuwaje mr tembo. Kuna kesi moja iliandikwa magazetini ukrusa wa mbele 11 kuhukumiwa kwenye mauaji ya mwanaharakti wa tembo makoy yupo pia?Makoy wa Aquiline hotel, au yule wa Pharmacy mwenye kesi ya kumuua mr Tembo?
Linapokuja suala la kulinda heshima ama utu wangu, huwa sijali mazingira, o level mwl alinikosea adabu, nikakata makofi, waliona uzito wa kosa la mwenzao, wakanipiga suspension ya mwezi mzima, nikaamua nihame tu na shule yenyewe.wewe nakuaminia!
Hata Tupac alisema "My Mama Raised No Fool"
Kuna mambo ukifanyiwa uvumilivu unakutoka.Miaka mingi iliyo pita tukiwa A- level tukiwa tunajiandaa kufanya MITIHANI ya form six.
Tukawa tupo DH kwa nyuma DH huwa Kuna wa mama wanauzaga mboga matunda, samaki e.t.c mwanafunzi harusiwi kuingia ndani anatakiwa asimame kwa nje so huyo jamaa akakutwa ndani ya kijumba Cha kuuzia..
Mwalimu alipo fika akaanza kumuhoji kwanini yupo mle ndani... kwa kifupi mwalimu alikua mpenda sifa na ubabe mle ndani akiwa Hana hili Wala lile MWALIMU AKAMNASA MAKOFI MAZITO MAZITO YA KELEBU YULE JAMAA.
Jamaa alitoka mle kwenye kijumba Cha kuuzia akakaa pembeni na kutokwa na machozi akarudi tukastukia mwalimu kapigwa roba yupo kwapani anabembea....
😊☺️ Alisikika mwalimu akiwa kapigwa vice ( Roba)...KIJANA UTAPATA MATATIZO....KIJANA PUNGUZA HASIRA...KIJANA PUNGUZA HASIRA UTAPATA MATATIZO😅😅
Mwisho watu waliwai kumsaidia mwalimu alitoka ana hema Sana na kushikilia koo...YULE KIJANA ALIPIGWA SP na akafanya MITIHANI akitokea uraiani / Ila alikua anajificha pale pale shuleni maana ilikua ni boarding school..maana ilikua weekend na jumatatu mitiani ya form six ilianza JAMAA ALIFAULU NA KUPATA DIVISION TWO YA MWANZO KABISA.
Huyu alieuwa tembo ni yule makoy anakuwaga na duka la dawa pale chini ya mti hiyo Kona ya kwa mama lulu. Anauzaga dawa bei poa kabisaHuyu anaemsema ni wa stand ndogo naona na ni kiongozi wa ccm huko halmashauri ya moshi. Wa tembo alimuuwaje mr tembo. Kuna kesi moja iliandikwa magazetini ukrusa wa mbele 11 kuhukumiwa kwenye mauaji ya mwanaharakti wa tembo makoy yupo pia?