Watu ninaowajua ambao Gambo aliwavunjia heshima

Kwa hili nakuunga mkono. Gambo ni mfitini sana. Anapaswa na yeye anyweshwe kikombe alichowanyweshea wenzake
 
 

Attachments

  • 1728759764686.jpg
    154.8 KB · Views: 4
Anasumbuliwa na majivuno ya kihaya.
 
Gambo wala asipoteze fedha za kura ya maoni....achukue kiinua mgongo apige mishe nyingine. Anaweza toboa kwemye biashara kwa connection alizonazo na sio kupoteza ela ya kuinua mgongo kutetea kiti ambacho wajumbe wanasubiri wamle kichwa.
 
Muulize na Nabii Lema na kulazwa gereza la Kisongo kwenye kesi hewa iliyosimamiwa na huyo Mrisho Gambo
 
Hiyo ya kumpiga kibao, kama mimi ndio ningekuwa huyo daktari, yangekuwa mengine.
Najua ningelala jela, kazi ningepoteza, na misukosuko mingine, ila uso wake usingetamanika, mpaka watu wasogee ni aidha kapasuka ama anatema damu.
Manen ya mkosaj
 

Kiukweli Gambo ni dalali wa hivyo vizimba hapo Arusha stand ndogo yeye na shokia na raia mmoja mwenyeji wa asia anaitwa Moiz
 
Hiyo ya kumpiga kibao, kama mimi ndio ningekuwa huyo daktari, yangekuwa mengine.
Najua ningelala jela, kazi ningepoteza, na misukosuko mingine, ila uso wake usingetamanika, mpaka watu wasogee ni aidha kapasuka ama anatema damu.
Mpaka waje kuamua, I'm sure Nisha mkata midomo
 
Gambo ndio basi tena bye bye bungeni itabakia story na utamu wake
 
Jamaa nadhani kati ya mwaka 2012-2024 hapo. Alikwenda kushiriki mkutano wa vijana Nairobi nchini Kenya. Walifikia kwenye hoteli moja walioyoandaliwa na waandaaji wa mkutano, mida ya jioni, akaingia kitaa kutafuta kiburudisho.

Baada ya kuburudika sijui akapandishiwa bei. Kinurudisho kikaleta varangati. Nduru na kelele zisizokuwa na mfano. Askari polisi ilibidi wamsombe akapelekwa selo.

Ilibidi waandaaji wa kongamano wamaadie kulipiq huduma na kumtoa rumande.
 
Gambo kwa fitina hana mpinzani. Sema jamaa kakulia kwenye chama. Kuanzia chipukizi hadi UVCCM... akiwa anasoma Arusha ndo alijikita zaidi UVCCM. Hata kazi yake ya kwanza ilikuwa ni IT pale manispaa Arusha. Wakati wa ajali ya Lucky Vicent aliwasweka ndani watu waliokuwa wanaenda moja kwa moja kwenye familia za wahanga kutoa rambirambi. Zilikuwa zinapitia kwake. Katika aliowaweka ndani kulikuwa na viongozi wa dini. Mstahiki Meya wa sasa alinusurika hiyo siku. Kuna tetesi pia hata Maza hamtaki huyu kenge.
 
Kiukweli Gambo ni dalali wa hivyo vizimba hapo Arusha stand ndogo yeye na shokia na raia mmoja mwenyeji wa asia anaitwa Moiz
Kweli kabisa, Moris Makoy ambae ni mwenyekit wa halmashauri ya Moshi vijijini, huyu anatumia cheo Cha CCM kuumiza watu...amenyang'anya watu Mali nyingi na anatetea Kila ofisi, Shokia mtumishi wa serikali na dalali, Mzee kwayu, Mzee mollel, Loken na moiz wote hawa wakishirikiana na Gambo ndo wafaidika wakuu wa hivyo vibanda. Wameumizwa watu sana, wamefilisi watu sana. Bahat mbaya wanatetewa kwa sababu Moris ni kiongozi mkubwa na Gambo Wana konekshen.
 
Huyu Gambo huyu?? Anapenda bwerere😂😂😂. Alisema aliwekewa condom chafu yenye mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…