Watu tisa waliozaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia

nilijua tu utajibu utumbo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilijua tu utajibu utumbo[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila functions za utumbo mwili wako usingeweza kufanya kazi sawa na ungekufa.

Unapenda kuangalia mambo kama simpleton.Ndiyo maana umeshindwa kuupangua "utumbo" wangu.

Unauliza "nani" kwa sababu ubongo wako umejikita kifinyu katika jibu ambalo linatoka kwenye swali la nani.

Wakati jibu linaweza kutoka katika swali la nini.

Hujajibu hoja hii unayoiita utumbo.

Umetukana tu.

Unataka kuelimishana au kutukanana?
 
Umekuna kuharibu thread kwa kumlete huyu mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.
Thread nzuri kabisa anaingiza mada zake.
Mbona unaninyanyasa kama mtu asiye na uhuru wa kuleta mada zake JF wakati JF ni ukumbi huru kwetu sote?

Unazichukia mada zangu kwa sababu zinakuonesha ukweli usiotaka kuusikia wala kuweza kuupinga?

Hiyo ndiyo sababu ya chuki yako kwangu?

"Much success to you, evennif you wish me the opposite. Sooner or later we'll all see who the prophet is" - Nas, " Nas Is Like".
 
Umekuna kuharibu thread kwa kumlete huyu mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.
Thread nzuri kabisa anaingiza mada zake.
Mbona hakuna tatizo mkuu
Jf ni jukwaa huru na kamwe hakuna thread ambayo itaweza kukupendeza kwa 100%
Kitu kama kinakukera jifunze tu kupotezea maana kinachokukera wewe ndicho kinschowafurahisha wengine
 
Huyo namba9 ndo aliyetoa methali ya shukrani Wa punda ni mateke
Ni # 8 mkuu siyo 9
Maana unamzungumzia George Lipert mwenye miguu mi3 na mioyo miwili
Ila pia kuna demu alizaliwa na miguu mi4
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-11-17-40-50.png
    72.4 KB · Views: 25
Bibi aliyeota pembe kama Faru
 
Unaweza kufikiri ni photoshop
 
Mkuu kiranga wewe ni mpagani bila Shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…