MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hahahaha jamaa umenichekesha. Maskini wengine povu linawatoka kaa kushindwa kuelewa kama mtoa post kafanya sarcasm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaje mmoja na utaje chanzo cha ubilionea wake.Hivi huwa mnaamini hizo takwimu za forbes!? Huko arabuni kuna mabilionea zaidi ya huyo elon
Yeye anajua kwamba unamchukia lakini?Yaani huyu Elon simpendi. Ana nyodo yaani na ile idea yake ya kupandikiza kipichi kwenye ubongo. Stupid kabisa aanze yeye kwanza kupandikizwa. Anajiona yeye ndo yeye na sometimes anaongea ujinga tu. Silipendi hili li baba. Tena ninaomba lishuke na lishuke tena.
Anajua kuwa watu wanamchukia so mimi ni mmoja wao.Hata mimi kuna watu wananichukia ndo life. Kwani wewe hakuna wanaokuchukia ?Yeye anajua kwamba unamchukia lakini?
Unakumbuka tulisema huyu ni swala muda watu wakatuzodoa…The guy is full of naniliii kwa oblangata… Ataiuza back kwa wenye Twitter kwa bei ya chini kabisa.. Wenzie walikuwa wanamuona limbukeni kind of…. Awe na adabu sasaYaani huyu Elon simpendi. Ana nyodo yaani na ile idea yake ya kupandikiza kipichi kwenye ubongo. Stupid kabisa aanze yeye kwanza kupandikizwa. Anajiona yeye ndo yeye na sometimes anaongea ujinga tu. Silipendi hili li baba. Tena ninaomba lishuke na lishuke tena.
Mkishangilia ndiyo utajiri wenu unakua? Jifunzeni toka kwenye makosa aliyofanya Musk badala ya kushangilia. Hata mkishangilia wala hatawaona wala kuwasikia. Ukiona mwenzio kanyolewa?Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.
Ni chereko na vifijo.
Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri duniani. Sasa hivi namba moja ni mfaransa billionaire mstaarab Bernard Arnault akiwa na utajiri wa dollars 172.
Wadau wengi tumepokea hii habari kwa furaha na shangwe. Watu tumefurahi hadi tumepata faraja kwenye umaskini wetu.
Musk alijionaga mungu mtu akidhani dunia ipo mabegani mwake. Na tunaomba utajiri wake uzidi kushuka asiwe hata kumi bora.
Kazaliwa Africa na kukulia Africa lakini hana msaada kwenye bara ilipomfikisha alipo. Watu tunakula mara moja baada ya siku tatu lakini hatukumbuki na hana fadhila.
Bora wote tu tuwe sawa kuwe na uihano.
Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.
Maskini Jeuri!
Usiwe na wasi wasi kwa vile amechezea sheria mwinsoni mwa mwaka kupunguza utajiri wake kwenye namba ili asilipe kodi kubwa. Subiri uje uone kuanzia January namba zitakapoanza kupanda tenaNgebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.
Ni chereko na vifijo.
Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri duniani. Sasa hivi namba moja ni mfaransa billionaire mstaarab Bernard Arnault akiwa na utajiri wa dollars 172.
Wadau wengi tumepokea hii habari kwa furaha na shangwe. Watu tumefurahi hadi tumepata faraja kwenye umaskini wetu.
Musk alijionaga mungu mtu akidhani dunia ipo mabegani mwake. Na tunaomba utajiri wake uzidi kushuka asiwe hata kumi bora.
Kazaliwa Africa na kukulia Africa lakini hana msaada kwenye bara ilipomfikisha alipo. Watu tunakula mara moja baada ya siku tatu lakini hatukumbuki na hana fadhila.
Bora wote tu tuwe sawa kuwe na uihano.
Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.
Maskini Jeuri!
Hahaha mzee wa vituko weweNimesikitika jamaa kurudi namba moja
🤣🤣🤣Nimesikitika jamaa kurudi namba moja
Yah ni kweli, Mungu atuwezeshe kubariki wengine ili na sisi tubarikiwe, Biblia inasema "Alipenda kulaani na laana ikampata, hakupenda kubariki, na baraka ikawa mbali nae"UKiendekeza hii tabia ya kindeze utaendelea kuumizwa na umasikini wako na ujeuri wako utakuzawadia umaskini sugu
Saudi Prince. Yule wa Qatar, hata Marehemu Gaddafi hawa ni Matajiri ila hawatambuliwi na Forbes , kwani huchukuliwa kuwa wezi waliojimilikisha mali za nchi zao.Mtaje mmoja na utaje chanzo cha ubilionea wake.