- Thread starter
- #81
Dah brethren mgalatia mwenzanguNimekuangalia kwenye nyuzi na comments zako nyingi inaonekana ni mtu wa wivu na Roho mbaya, mfano unavyoserekea musk kushuka inafaida gani kwenye maisha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah brethren mgalatia mwenzanguNimekuangalia kwenye nyuzi na comments zako nyingi inaonekana ni mtu wa wivu na Roho mbaya, mfano unavyoserekea musk kushuka inafaida gani kwenye maisha yako
Hilo halitakaa liwezekaneMimi nataka wote tuwe sawa
Hapo mungu anatokea wapi !?Mr nyboma lengo ni kujifunza , when you ows billions don't mistreat others because God has billions ways to drag u down.
Alisema ataaza yeye kupacikliwa mkuu...vipi sasa utampenda?Yaani huyu Elon simpendi. Ana nyodo yaani na ile idea yake ya kupandikiza kipichi kwenye ubongo. Stupid kabisa aanze yeye kwanza kupandikizwa. Anajiona yeye ndo yeye na sometimes anaongea ujinga tu. Silipendi hili li baba. Tena ninaomba lishuke na lishuke tena.
Haya nimateso yaumasikini kuhisi mwenyemali anajitapa anajiona lakini ukweli utabaki palepale anaejituma kwaufanisi namaalifa zaidi hufanikiwa minamuombea huyu mwamba ikiwezekana apambane zaidi lipatikane suluhisho lakifoUna akili sana ndugu. Unaona vitu wengi hawawezi kuviona kwa macho ya kawaida.
Hata project ya space x nayo ni project ya kipumbavu tu, openai OpenAI Musk anafikiri anaweza kutengeneza mashine iwe kama binadamu, anajiona mungu mtu.
Anapita njia zile zile za akina Gate.
Hawatafanikiwa.
Wanajiona ni Waarabu zaidi ya Uafrika... Morocco kuwakana waafrika wenzao.
... ila likitokea Afrika lenye maslahi kwao hujinasibisha na uafrika! Hawa ni popo; sio ndege, sio mnyama!Wanajiona ni Waarabu zaidi ya Uafrika
Dish liko imara kweli kweliNgebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.
Ni chereko na vifijo.
Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri duniani. Sasa hivi namba moja ni mfaransa billionaire mstaarab Bernard Arnault akiwa na utajiri wa dollars 172.
Wadau wengi tumepokea hii habari kwa furaha na shangwe. Watu tumefurahi hadi tumepata faraja kwenye umaskini wetu.
Musk alijionaga mungu mtu akidhani dunia ipo mabegani mwake. Na tunaomba utajiri wake uzidi kushuka asiwe hata kumi bora.
Kazaliwa Africa na kukulia Africa lakini hana msaada kwenye bara ilipomfikisha alipo. Watu tunakula mara moja baada ya siku tatu lakini hatukumbuki na hana fadhila.
Bora wote tu tuwe sawa kuwe na uihano.
Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.
Maskini Jeuri!
Kwa hiyo Musk kafulia?Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.
Maskini Jeuri!
Hata hivyo Leo tutawashangilia kwa kuwa hatuna chaguo zaidi la Timu ya Afrika.... ila likitokea Afrika lenye maslahi kwao hujinasibisha na uafrika! Hawa ni popo; sio ndege, sio mnyama!
Si mpaka aanze. Utaamini vipi kweli kapachikwa. Ana uwezo wa kudanganya kuwa kapachikwa.Alisema ataaza yeye kupacikliwa mkuu...vipi sasa utampenda?
Ndio mkuu anaumia kwanini amekuwa tajiri namba mbili kwa iyo amefuliaKwa hiyo Musk kafulia?
Unasema humpendi kumbe kinyume chake, by the way Sina uhakika kama hata yy anakujua achilia mbali kukupenda.Yaani huyu Elon simpendi. Ana nyodo yaani na ile idea yake ya kupandikiza kipichi kwenye ubongo. Stupid kabisa aanze yeye kwanza kupandikizwa. Anajiona yeye ndo yeye na sometimes anaongea ujinga tu. Silipendi hili li baba. Tena ninaomba lishuke na lishuke tena.
Tulia weweee mkaldayoMafukara mnafarijiana kwa wingi wenu, taabu iko pale pale dadadeeki.