Watu tunasherekea utajiri wa Elon Musk kushuka

Mtoa Mada izo statistics umezitoa wapi how comes $168 billion wakat currently Forbes inaonesha $176 billions
Screenshot_20221214-094612.jpg

Nilichojifunza kutoka Kwa bwana Elon , he proved that when you ow a lot sio lazma uact on a certain way ,be neutral, funny etc etc

Lkn i hated how he fired people!
 
Kweli Waafrika roho mbaya ni asili yetu.

Ndiyo maana Waarabu wa Morocco wametukataa tusiwashangilie.

Yaani Mimi mweusi kama Mkaa nijifananishe na Elon Musk eti kisa amezaliwa Afrika Kusini?

Guys, Elon ni Mzungu wacheni kujifariji
 
Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.

Ni chereko na vifijo.

Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri duniani. Sasa hivi namba moja ni mfaransa billionaire mstaarab Bernard Arnault akiwa na utajiri wa dollars 172.

Wadau wengi tumepokea hii habari kwa furaha na shangwe. Watu tumefurahi hadi tumepata faraja kwenye umaskini wetu.

Musk alijionaga mungu mtu akidhani dunia ipo mabegani mwake. Na tunaomba utajiri wake uzidi kushuka asiwe hata kumi bora.

Kazaliwa Africa na kukulia Africa lakini hana msaada kwenye bara ilipomfikisha alipo. Watu tunakula mara moja baada ya siku tatu lakini hatukumbuki na hana fadhila.

Bora wote tu tuwe sawa kuwe na uihano.

Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.

Maskini Jeuri!
UKiendekeza hii tabia ya kindeze utaendelea kuumizwa na umasikini wako na ujeuri wako utakuzawadia umaskini sugu
 
Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.

Ni chereko na vifijo.

Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri duniani. Sasa hivi namba moja ni mfaransa billionaire mstaarab Bernard Arnault akiwa na utajiri wa dollars 172.

Wadau wengi tumepokea hii habari kwa furaha na shangwe. Watu tumefurahi hadi tumepata faraja kwenye umaskini wetu.

Musk alijionaga mungu mtu akidhani dunia ipo mabegani mwake. Na tunaomba utajiri wake uzidi kushuka asiwe hata kumi bora.

Kazaliwa Africa na kukulia Africa lakini hana msaada kwenye bara ilipomfikisha alipo. Watu tunakula mara moja baada ya siku tatu lakini hatukumbuki na hana fadhila.

Bora wote tu tuwe sawa kuwe na uihano.

Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.

Maskini Jeuri!
... chief sikutarajia una roho kama ya jiwe!
 
Kweli Waafrika roho mbaya ni asili yetu.

Ndiyo maana Waarabu wa Morocco wametukataa tusiwashangilie.

Yaani Mimi mweusi kama Mkaa nijifananishe na Elon Musk eti kisa amezaliwa Afrika Kusini?

Guys, Elon ni Mzungu wacheni kujifariji
... nimeshangaa sana hiyo kitu.
 
Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.

Ni chereko na vifijo.

Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri duniani. Sasa hivi namba moja ni mfaransa billionaire mstaarab Bernard Arnault akiwa na utajiri wa dollars 172.

Wadau wengi tumepokea hii habari kwa furaha na shangwe. Watu tumefurahi hadi tumepata faraja kwenye umaskini wetu.

Musk alijionaga mungu mtu akidhani dunia ipo mabegani mwake. Na tunaomba utajiri wake uzidi kushuka asiwe hata kumi bora.

Kazaliwa Africa na kukulia Africa lakini hana msaada kwenye bara ilipomfikisha alipo. Watu tunakula mara moja baada ya siku tatu lakini hatukumbuki na hana fadhila.

Bora wote tu tuwe sawa kuwe na uihano.

Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.

Maskini Jeuri!
Leo ndo nmeamini kuna umasikini unaoletwa na laana

Yaan mtu mwenye akili timamu na roho safi isio na laana hawezi kuwa na mawazo haya.

Af mbona elon anapendwa sana huko nje? Nadhan hakujawahi tokea billionea anaefuatiliwa sana kama elon. Japo Africans tuna roho ya ajabu, ndo maana maoni kama haya tunaona ni sawa

Ngoja mwakani semi trucks za tesla zisambae na Autopilot ikamilike kabisa ndo utashangaa share za Tesla zinafikia 500 usd per share, hapo elon atakua na kama utajiri wa billion 600 hv. Mie nadhan huyu jamaa ndo atakua mtu wa kwanza kuwa trillionaire
 
Hizo ni calculations tu za hisa za Tesla. Leo zimeshuka, kesho unaweza kuamka zimepanda tena anarudi kuwa tajiri vile vile.

Kwanza utajiri huo wa Musk unaohesabiwa ni wa kwenye hisa za Tesla wakati, jamaa ana lundo la makampuni ambayo hayako kwenye mfumo wa hisa na yanafanya vizuri kama Twitter, Starlink, Space X, na The Boring company.
 
Yaani huyu Elon simpendi.Ana nyodo yaani na ile idea yake ya kupandikiza kipichi kwenye ubongo.Stupid kabisa aanze yeye kwanza kupandikizwa.Anajiona yeye ndo yeye na sometimes anaongea ujinga tu.Silipendi hili li baba .Tena ninaomba lishuke na lishuke tena.
Mbona kwenye forbes list bado ni wa kwanza
 
Na serikali yetu isimruhusu aanzishe Starlink Tanzania. Hatutaki waafrika uchwara.
Una akili sana ndugu. Unaona vitu wengi hawawezi kuviona kwa macho ya kawaida.

Hata project ya space x nayo ni project ya kipumbavu tu, openai OpenAI Musk anafikiri anaweza kutengeneza mashine iwe kama binadamu, anajiona mungu mtu.

Anapita njia zile zile za akina Gate.

Hawatafanikiwa.
 
Hta mkimsemaje bado ni tajiri tu hakuna chochote kitabadilika.
Lets try to mind our own business and working hard stop being lazy!
Umeongea Safi Sana halaf si kivile kashuka ni agenda flani maana yeye hayuko uko wamemshusha makusud Tu jamaa hatakagi ujinga wa secret society
 
Mtoa Mada izo statistics umezitoa wapi how comes $168 billion wakat currently Forbes inaonesha $176 billionsView attachment 2446193

Nilichojifunza kutoka Kwa bwana Elon , he proved that when you ow a lot sio lazma uact on a certain way ,be neutral, funny etc etc

Lkn i hated how he fired people!
Kufukuza watu ndio njia pekee kampuni iendelee kusurvive.
Kampuni inayoingiza mkwanja mrefu kwa tech apple Steve Jobs alifukuza watu sana.
Serikalini si unaona wanavyoperform wanajua hifukuzwi.
 
Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni.

Ni chereko na vifijo.

Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri duniani. Sasa hivi namba moja ni mfaransa billionaire mstaarab Bernard Arnault akiwa na utajiri wa dollars 172.

Wadau wengi tumepokea hii habari kwa furaha na shangwe. Watu tumefurahi hadi tumepata faraja kwenye umaskini wetu.

Musk alijionaga mungu mtu akidhani dunia ipo mabegani mwake. Na tunaomba utajiri wake uzidi kushuka asiwe hata kumi bora.

Kazaliwa Africa na kukulia Africa lakini hana msaada kwenye bara ilipomfikisha alipo. Watu tunakula mara moja baada ya siku tatu lakini hatukumbuki na hana fadhila.

Bora wote tu tuwe sawa kuwe na uihano.

Furaha ya maskini ni masahibu ya tajiri hasa kufulia.

Maskini Jeuri!
Hata ukifurahia itakusaidia nini kuondokana na umaskini wako
 
Back
Top Bottom