Watu tunasherekea utajiri wa Elon Musk kushuka

Labda kama umeamua kufurahisha umma tu, yani mtu mwenye utajiri wa 168b USD ni wa kumdhihaki?akati mama yetu Samia yuko Washington anakesha kwenye vikao kuwapigia magoti wazungu watupe misaada ya walau 1b usd.
 
Yeye anajua kwamba unamchukia lakini?
 
Unakumbuka tulisema huyu ni swala muda watu wakatuzodoa…The guy is full of naniliii kwa oblangata… Ataiuza back kwa wenye Twitter kwa bei ya chini kabisa.. Wenzie walikuwa wanamuona limbukeni kind of…. Awe na adabu sasa
 
Mkishangilia ndiyo utajiri wenu unakua? Jifunzeni toka kwenye makosa aliyofanya Musk badala ya kushangilia. Hata mkishangilia wala hatawaona wala kuwasikia. Ukiona mwenzio kanyolewa?
 
Usiwe na wasi wasi kwa vile amechezea sheria mwinsoni mwa mwaka kupunguza utajiri wake kwenye namba ili asilipe kodi kubwa. Subiri uje uone kuanzia January namba zitakapoanza kupanda tena
 
Ha ha ha!! Dah... Arudi huku kijiweni achore upya.... Waafrika bana hili bara hili.
 
UKiendekeza hii tabia ya kindeze utaendelea kuumizwa na umasikini wako na ujeuri wako utakuzawadia umaskini sugu
Yah ni kweli, Mungu atuwezeshe kubariki wengine ili na sisi tubarikiwe, Biblia inasema "Alipenda kulaani na laana ikampata, hakupenda kubariki, na baraka ikawa mbali nae"
 
Haya boss wangu karudi pale namba moja, kule texas nliacha Tesla model 3 yangu naimiss sana.

I believe in Elon. Jamaa atakua trillionaire wa kwanza duniani. Na anavyowapinga WEF na kupambana kutupeleka Mars naona kabisa ni kama zawadi tumeletewa hv
 
Mtaje mmoja na utaje chanzo cha ubilionea wake.
Saudi Prince. Yule wa Qatar, hata Marehemu Gaddafi hawa ni Matajiri ila hawatambuliwi na Forbes , kwani huchukuliwa kuwa wezi waliojimilikisha mali za nchi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…