Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #161
Ngoja tuone itakuwaje 😢😢Kama ukiweza kumchukulia jinsi alivyo mnaweza kufika mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone itakuwaje 😢😢Kama ukiweza kumchukulia jinsi alivyo mnaweza kufika mbali
Hapo usipokubali kushindwa nayo pia ni kosa kwaoWanaitwa watu wenye vichwa vigumu & wasiopenda maelewano.
Wanaongozwa na roho ya mashindano.
Kuishi nao ,kwanza waachie uhuru wao lakini usikubali kushindwa . Waonyeshe ujasiri wako.
Weka like yako hapa kama umekubali
Hawa watu inabidi watengwe wakaishi dunia yao🙌Ubinafsi na ubabe unawafanya wajione wao ni muhimu sana na wenye akili kuzidi wengine.Kosa kuu huwa hili
Asante nitafanyia kazi hiiMgeuzie kibao umfanye yey ndo aanze kukufukuzia.
- fanya kama humjari sana. Ata akipga sim usipokee mpgie baadae na maneno yacwe meng mwambie npo busy ntakuchek na ucmtafte tena. Had akutafte yey..
- jikipu busy to making your life yey awe kama ziada tu, make kila mtu anamapungufu. Ila ukigundua anamtu kimbia
Mbona hatari sana hii mkuuHao Kwa jina la kitaalam wanaitwa NARCISSIST ama MANIPULATOR. Ukiwa na mtu wa hivi jiandae kubwa na huzuni maisha Yako yote.
Asante mkuu, asipochange nitaanza kujitoa taratibu kabisaNawajua vyema watu wa hivyo na nilishawakataa karibu yangu. Kila kitu kinachomtokea kimesababishwa na mtu mwingine, na wanakuaga wanafki na wachonganishi sana kuwa makini nae. Na kujifanya wapole na friendly.
Mtoe karibu yako utakuja kujuta nae siku
Ndio haiwezekani Sasa labda tuwajue tuwapuuze wajinyonge kwa upweke.Hawa watu inabidi watengwe wakaishi dunia yao🙌
Ndio haiwezekani Sasa labda tuwajue tuwapuuze wajinyonge kwa upwekeHawa watu inabidi watengwe wakaishi dunia yao🙌
Hayo yote Yana dalili zake ktk uchumba.Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.
Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika sana.
Mtu ambaye yeye akikosea anaweza hata asiombe msamaha.
Mtu ambaye anakasirishwa na vitu vidogo, huwa mnaishi vipi na watu kama hawa nipate idea🤔
Huyu mtu bado hajawa mume ndiyo maana naomba ideas nione kama huwa wanaweza kubadilika au lahHayo yote Yana dalili zake ktk uchumba.
Tatizo penzi lilikufumba macho ukaacha jukumu la kuitauta kesho yako kwake (maisha unayoyataka kihali).
Kaa na mumeo mweleze ,atakasirika ila usirudi nyuma ktk ukweli.
Hatari sana mkuu. Hapa nimekasirikiwa since jana na mimi napiga kimya nione mwishoweNdio haiwezekani Sasa labda tuwajue tuwapuuze wajinyonge kwa upweke
Kuna motive ya hilo na jua tu thamani yako imepungua yaani humaanishi life partner kwake. Hizo tabia hawezimuonesha boss wake kazini au wazazi wake.Huyu mtu bado hajawa mume ndiyo maana naomba ideas nione kama huwa wanaweza kubadilika au lah
Mpaka anyeHatari sana mkuu. Hapa nimekasirikiwa since jana na mimi napiga kimya nione mwishowe
Wala hajali na anaweka statusMpaka anye
Atajali tu ukimtemaWala hajali na anaweka status
Sawa mkuu nitafanya hivyo asipo jirekebisha basiKuna motive ya hilo na jua tu thamani yako imepungua yaani humaanishi life partner kwake. Hizo tabia hawezimuonesha boss wake kazini au wazazi wake.
Sema naye kwa kauli iliyonyooka ,subiri matokeo
😁😁ngoja tuoneAtajali tu ukimtema