NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Tulishatengana,Kwa sasa ndio ananipenda kweli kabisa sababu tulipotengana kuna mambo mengi yalimwendea kombo namimi nilishaoa kabisa.Sasa anatamani hata uhawara ila Mimi huwa sipendi kuzungumzia nae,Ndio maana nikakwambia alikuwa bhajui kama nipo dar mpaka alipoambiwa na nduguze.Sasa hatuongei kwa kuwa mimi simsemeshagi tena.Huyo bado mpo pamoja au mmeachana? Kama mmeachana bado anakupenda