Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #101
Asante mkuu, nitafanya hivyoUsikose wala kupoteza Amani yako kwaajili ya mtu ambaye inawezekana ndivyo alivyolelewa, inakupasa wew ndio uangalie huyo mtu akiendelea kuwa ndani ya himaya yako kunafaida gani unapata? Kama Hana faida weka pemben angali maisha yako, pambana kusanya noti utajiri yangu huyo amesha kuchoka!