Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #61
Asante sana mkuu, ikitokea ikashindikana nitakuwa tu mwenyewe maana unaweza kuanzisha mahusiano na mwengine ikawa afadhali ulipotokaKama umetafuta kila namna ya kuweka mambo sawa na bado haijawa sawa, kwa afya yako ya akili na kwa utulivu wako wa moyo nakushauri achana naye.
Ukishaachana naye tulia kwa muda, usitake kujionyesha kwamba nawe ni wa thamani sana hivyo unagombaniwa. Tulia jipe miezi hata 3 kisha anza safari yako nyengine.
Lakini kubali kuwa ukshiachana naye kwa kiasi fulani utajihisi maumivu, yavumilie na yatakwisha, na njia hii ukiifuata ndiyo njia sahihi.