Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Hii kitaalam tunaita GG au BOTH TEAM TO SCORE. Hii ndo defense mechanism yangu kubwa sana kwa Manzi, siku zote huwa natafuta kubalance mzani🤔
Mnatukosea sana aisee kuomba msamaha unapokosea ni muhimu jitahidini muwe mnafanya hivyo
 
Ni hatari sana nilihama kabisa Sasa kuna baadhi ya nyaraka zangu zilibaki kwake,nikawa nashughulikia mambo fulani ya kifedha kumwuliza akasema hazipo.Pale ndo nkajua like jini bahati nikaomba watu wa kazini nilipoacha wanitafutie zingine.Utamu upo hapa.
Duh! Sasa ilikuwaje ulifanikiwa kuzipata?
 
Mnatukosea sana aisee kuomba msamaha unapokosea ni muhimu jitahidini muwe mnafanya hivyo
Kuna makosa naweza omba msamaha ila mengine lazima nigeuze kesi. Mfano amechukua simu yangu kaanza kupekua vitu, yaani hata akutane na video namcheat hiyo siwezi omba msamaha
 
Kuna makosa naweza omba msamaha ila mengine lazima nigeuze kesi. Mfano amechukua simu yangu kaanza kupekua vitu, yaani hata akutane na video namcheat hiyo siwezi omba msamaha
Heeeeh! Kwanini usiombe msamaha sasa hapo?
 
Usikose wala kupoteza Amani yako kwaajili ya mtu ambaye inawezekana ndivyo alivyolelewa, inakupasa wew ndio uangalie huyo mtu akiendelea kuwa ndani ya himaya yako kunafaida gani unapata? Kama Hana faida weka pemben angali maisha yako, pambana kusanya noti utajiri yangu huyo amesha kuchoka!
 
Back
Top Bottom