Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Binti,
Siyo rahisi mwanaume kukuomba msamaha. Ukishindwa kujua na kuishi na hilo utawabadilisha wanaume wee, mwishowe utajipatia majina mabaya na utaonekana hufai

Binti,
Siyo rahisi mwanaume kukuomba msamaha. Ukishindwa kujua na kuishi na hilo utawabadilisha wanaume wee, mwishowe utajipatia majina mabaya na utaonekana hufai
Mimi pia binadamu kwanini mtu anitendee ambavyo akitendewa hatopenda
 
Kwa kidhungu inaitwa Gaslighting na inatumika sana na watu wanaitwa Narcissist. Ukiweza kugoogke tabia za hao watu ukawajua kiundani utaamua mwenyewe uishi nae au upige chini. Ila pole sana
Asante sana mkuu, sijui kama tutafika mbali kwa hizi tabia zake🥲
 
Kama Unamsikilizia Basi huna Nguvu ya Kumuacha endelea kungangania tu mana Kenge huwa hasikii mpaka atoke damu masikioni
😁😁😁dah! Mbona unasema hivyo mkuu, kuanzisha mahusiano mapya ni kazi sana unaweza kupata mtu mwingine akawa wa hovyo kuliko uliyemuacha
 
Mimi pia binadamu kwanini mtu anitendee ambavyo akitendewa hatopenda
Unataka usawa?!
Ukiona unapenda sana usawa hakuna shida, jiunge na kundi la #Kataa Ndoa!

Mke mwema huwa anajua kusamehe bila kuombwa msamaha ili kulinda amani yake na mahusiano na mwenza wake kwa ujumla, maana anajua mume haombi msamaha
 
Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.

Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika sana.

Mtu ambaye yeye akikosea anaweza hata asiombe msamaha.

Mtu ambaye anakasirishwa na vitu vidogo, huwa mnaishi vipi na watu kama hawa nipate idea
my x yf alikua na hyo tabia, akikosea haomb msamaha, tena yey ndo anakua wakulalamika ili aombwe msamaha yey.

  • ila mim nilimwambia yake makosa japo alikua jeuri.
  • niligundua ananicheat ndo maana jeur. Akazdisha tukaachana kistaarabu tena yey ndo altaka aende kwao nikakubali. MIAKA MITATU NOW
 
Unataka usawa?!
Ukiona unapenda sana usawa hakuna shida, jiunge na kundi la #Kataa Ndoa!

Mke mwema huwa anajua kusamehe bila kuombwa msamaha ili kulinda amani yake na mahusiano na mwenza wake kwa ujumla, maana anajua mume haombi msamaha
Ninajua hilo na huwa ninajishusha sana tu lakini hii tabia ya kukasirika na yeye ndo mwenye makosa haipo sawa
 
Kama umetafuta kila namna ya kuweka mambo sawa na bado haijawa sawa, kwa afya yako ya akili na kwa utulivu wako wa moyo nakushauri achana naye.

Ukishaachana naye tulia kwa muda, usitake kujionyesha kwamba nawe ni wa thamani sana hivyo unagombaniwa. Tulia jipe miezi hata 3 kisha anza safari yako nyengine.

Lakini kubali kuwa ukshiachana naye kwa kiasi fulani utajihisi maumivu, yavumilie na yatakwisha, na njia hii ukiifuata ndiyo njia sahihi.
 
Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.

Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika sana.

Mtu ambaye yeye akikosea anaweza hata asiombe msamaha.

Mtu ambaye anakasirishwa na vitu vidogo, huwa mnaishi vipi na watu kama hawa nipate idea🤔
Kuwapandishia vioo. Kuwakataa. Kukata nao mazoea. Na hawa kwa nyanja ya saikolojia ya mwanadamu huitwa Narcissists . Na wana ugonjwa wa akili ujulikanao kama narcissistic personality disorder 🤔🤔. Wataalam watajazia nyama nyama.
 
Back
Top Bottom