Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Wanaitwa watu wenye vichwa vigumu & wasiopenda maelewano.
Wanaongozwa na roho ya mashindano.

Kuishi nao ,kwanza waachie uhuru wao lakini usikubali kushindwa . Waonyeshe ujasiri wako.

Weka like yako hapa kama umekubali
Hapo usipokubali kushindwa nayo pia ni kosa kwao
 
Asante nitafanyia kazi hii
 
Nawajua vyema watu wa hivyo na nilishawakataa karibu yangu. Kila kitu kinachomtokea kimesababishwa na mtu mwingine, na wanakuaga wanafki na wachonganishi sana kuwa makini nae. Na kujifanya wapole na friendly.
Mtoe karibu yako utakuja kujuta nae siku
Asante mkuu, asipochange nitaanza kujitoa taratibu kabisa
 
Hayo yote Yana dalili zake ktk uchumba.
Tatizo penzi lilikufumba macho ukaacha jukumu la kuitauta kesho yako kwake (maisha unayoyataka kihali).
Kaa na mumeo mweleze ,atakasirika ila usirudi nyuma ktk ukweli.
 
Huyu mtu bado hajawa mume ndiyo maana naomba ideas nione kama huwa wanaweza kubadilika au lah
 
Huyu mtu bado hajawa mume ndiyo maana naomba ideas nione kama huwa wanaweza kubadilika au lah
Kuna motive ya hilo na jua tu thamani yako imepungua yaani humaanishi life partner kwake. Hizo tabia hawezimuonesha boss wake kazini au wazazi wake.
Sema naye kwa kauli iliyonyooka ,subiri matokeo
 
Kuna motive ya hilo na jua tu thamani yako imepungua yaani humaanishi life partner kwake. Hizo tabia hawezimuonesha boss wake kazini au wazazi wake.
Sema naye kwa kauli iliyonyooka ,subiri matokeo
Sawa mkuu nitafanya hivyo asipo jirekebisha basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…