Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Nilishawahi kuwa na mmeru Tena alinipenda mwenyewe ,niliachana nae sikupenda swaga zake kama mwanaume ,ule uhuni wao wa Arusha haswa lugha ilikuwa inanichefua sana akiongea.

Sasa sister wake alimkata mumewe kweny koo ila jamaa hajafa ni mmeru mwenzie ...kipind Niko dsm alinikutanisha na ndugu zake ,wengi Wana ngeu kama majambazi .

Huyu mwanamke alikuwa mzuri sana.
 
Hii scenario ni sawa kabisa na wakurya
 
Kaka Mmeru kwa Mmeru haziivi.
Wadada wengi hawajaolewa. Ukiuliza kwanini wanasema Arusha hakuna Wanaume kuna Marioo tu
 
Kumbe we ni mtanga😂, bila shaka ni msambaa
 
Hakika mapenzi ni upofu,na upendo husitiri wingi wa madhaifu.
 
Kaka Mmeru kwa Mmeru haziivi.
Wadada wengi hawajaolewa. Ukiuliza kwanini wanasema Arusha hakuna Wanaume kuna Marioo tu
Tatizo mirungu ...Wanaokula mirungu hata hapa Tanga ni watu w hovyo ,kazi hawataki ,kupenda stori za utajiri tu.
 
Tatizo mirungu ...Wanaokula mirungu hata hapa Tanga ni watu w hovyo ,kazi hawataki ,kupenda stori za utajiri tu.
Ndio inspiration speakers.....kwa maneno ukiwapinga wanasema your are negative wakati wewe unawaambia Reality
 
Mmeru mie nawakubali kwa tabia zao za kibabe, nilipenda niwe na mwanamke mbabe ambaye Kila siku tunawashiana moto baadaye ama muda kidogo tu tunacheka Kama sio sie tulikuwa tunagombana vile
 
Mmeru mie nawakubali kwa tabia zao za kibabe, nilipenda niwe na mwanamke mbabe ambaye Kila siku tunawashiana moto baadaye ama muda kidogo tu tunacheka Kama sio sie tulikuwa tunagombana vile
Wako poa sana. Na for your information ukiwa sio wa kabila lao they are very submissive......wanapenda sana kudinyana hasa kama anakupenda utachoka wewe tu
 
Bro...wewe umebahatika kupata mke. Wameru wana sifa mbaya sana linapokuja suala la ndoa.
Katoe sadaka kabisani maana umeokota dodo.
 
Upo sahihi
 
Bro...wewe umebahatika kupata mke. Wameru wana sifa mbaya sana linapokuja suala la ndoa.
Katoe sadaka kabisani maana umeokota dodo.
Mweee......we pia una uzoefu nao.

Hata hivyo ni vizuri kuchanganya kabila ili kuleta kizazi bora ktk uzao wako.

Sio mnyachusa unajaza wanyachusa wenzako.
 
Huwezi
Nakupa miaka 17 utakuwa ushalala mavumbini chalii angu hawo sio wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…