Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Ulimpata msichana wa kimeru toka migombani ukamshawishi ulale naye siku ya kwanza havui nguo mpaka umfanyie kasheshe na kuchana nguo yake ya ndani
 
Ulimpata msichana wa kimeru toka migombani ukamshawishi ulale naye siku ya kwanza havui nguo mpaka umfanyie kasheshe na kuchana nguo yake ya ndani
Hao ndio wasichana wanaojielewa
 
Kwa matusi haya wameru tumekaa kikao tunaomba ututajie namba ya nyumba unayoishi hapo tengeru tukuletee zawadi
 
Ni kabila gani hawawafundishi mabinti zao hayo uliyoyataja hapo?
 
Mbona hayo matukio huwa hatuyasikii kwenye vyombo vya habari au hata online TV, Sana matukio mengi yamekuwa ya kiripotiwa nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa
 
Hivi ulikuwa unatest upate comments za wadau kuhusu waMeru au ulimaanisha?🤧🤧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…