Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #121
Duuh kwanini mzee?Huwezi
Nakupa miaka 17 utakuwa ushalala mavumbini chalii angu hawo sio wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kwanini mzee?Huwezi
Nakupa miaka 17 utakuwa ushalala mavumbini chalii angu hawo sio wanawake
Heheheee....yalishakukuta?Wavuta bange hao mademu
CHuku mzigo huo weka ndani utanishukuru baadaeKuna kameru nimekakula kimasihara juzi juzi hapa ni katamu balaaa
Hao ndio wasichana wanaojielewaUlimpata msichana wa kimeru toka migombani ukamshawishi ulale naye siku ya kwanza havui nguo mpaka umfanyie kasheshe na kuchana nguo yake ya ndani
Kwa matusi haya wameru tumekaa kikao tunaomba ututajie namba ya nyumba unayoishi hapo tengeru tukuletee zawadiUzoefu ninao mkubwa sana tena wa miaka 10.Ni jamii ya hovyo sijapata kuona.Jeuri,kiburi,dharau,ugomvi,hasira zisizo za msingi muda wote.Ni wajinga jinga hivi na ubinafsi wa hali ya juu wote.Kuanzia dada zao mpaka kaka zao.
Naripoti toka Tengeru hapa mkuu,najua ninachokisema
HahaaaHuwajui wameru vizuri wewe[emoji2][emoji2], Wana dharau na hasira vibaya mno, mwanamke unagombana nae anaanza kutafuna shuka
Ni kabila gani hawawafundishi mabinti zao hayo uliyoyataja hapo?Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.
Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.
Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka kwa Mama yao. Hii haiwahusu kataa ndoa.
Baada ya kuwa mwenyeji ndani ya Jiji la Arusha na kupata interaction kubwa ninejifunza mambo mengi kuhusu jamii hii. Ni watu wema, watu wazuri.
Bila kusahau Wasichana wao ni wazuri pia. Sema wana ukali kidogo, ni vema ukawavumilia maana ndivyo walivyo na huwezi kubadilisha. Ni sawa na mskuma kupenda sura nyeupe.
Basi bwana wakanisimulia mafunzo wanayopewa wadada wanaotarajiwa kuolewa. Kama ifuatavyo.
1. Mwanamke anajifunza uvumilivu ktk ndoa
2. Mwanamke anajifunza kuongea maneno machache, asijibizane na mumewe.
3. Mwanamke anafundishwa akiambiwa habari zinazohusu mume wake basi azidharau na kuendelea na maisha yake.
5. Mwanamke ni kosa kubwa akitembelewa na Wakwe au ndugu wa Mume kupika maharage, ni jinai kabisa.
6. Binti wa Kimeru akimpa kitu mtu wa heshime apige goti, abonyee kidogo.
7. Ukimpa maji Mune wako au unabeba chakula hakikisha unaweka kwenye sinia au kisosi, sio na mikoni yako umeshika likikombe unampa.
8. Mkimaliza tendo Mwanamke ahakikishe anausafisha mwiko kabla ukoko haujakauka, na Sufuria lioshwe on the spot.
Yapo mengine mazuri wengine mtaongezea
Unavijua vivumishi vya sifa?Kwa matusi haya wameru tumekaa kikao tunaomba ututajie namba ya nyumba unayoishi hapo tengeru tukuletee zawadi
Hivi ulikuwa unatest upate comments za wadau kuhusu waMeru au ulimaanisha?🤧🤧Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.
Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.
Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka kwa Mama yao. Hii haiwahusu kataa ndoa.
Baada ya kuwa mwenyeji ndani ya Jiji la Arusha na kupata interaction kubwa ninejifunza mambo mengi kuhusu jamii hii. Ni watu wema, watu wazuri.
Bila kusahau Wasichana wao ni wazuri pia. Sema wana ukali kidogo, ni vema ukawavumilia maana ndivyo walivyo na huwezi kubadilisha. Ni sawa na mskuma kupenda sura nyeupe.
Basi bwana wakanisimulia mafunzo wanayopewa wadada wanaotarajiwa kuolewa. Kama ifuatavyo.
1. Mwanamke anajifunza uvumilivu ktk ndoa
2. Mwanamke anajifunza kuongea maneno machache, asijibizane na mumewe.
3. Mwanamke anafundishwa akiambiwa habari zinazohusu mume wake basi azidharau na kuendelea na maisha yake.
5. Mwanamke ni kosa kubwa akitembelewa na Wakwe au ndugu wa Mume kupika maharage, ni jinai kabisa.
6. Binti wa Kimeru akimpa kitu mtu wa heshime apige goti, abonyee kidogo.
7. Ukimpa maji Mune wako au unabeba chakula hakikisha unaweka kwenye sinia au kisosi, sio na mikoni yako umeshika likikombe unampa.
8. Mkimaliza tendo Mwanamke ahakikishe anausafisha mwiko kabla ukoko haujakauka, na Sufuria lioshwe on the spot.
Yapo mengine mazuri wengine mtaongezea
I real mean it. Na nimepata taarifa zaidi kuhusu hawaHivi ulikuwa unatest upate comments za wadau kuhusu waMeru au ulimaanisha?🤧🤧
Wewe ulikuwa una deal na chokoraa.....punguza nyegeWewe huwajui tulia, kuna kengine kalinitishia kunikata mbolo nisipokapa hela ya fegi..acha kabisa!!
HahahaaKwa matusi haya wameru tumekaa kikao tunaomba ututajie namba ya nyumba unayoishi hapo tengeru tukuletee zawadi
Mwanaume bhana akipenda, kila kitu kitasifiwa, chongo litaitwa Kengeza.I real mean it. Na nimepata taarifa zaidi kuhusu hawa
SahihiMwanaume bhana akipenda, kila kitu kitasifiwa, chongo litaitwa Kengeza.
BTW, tabia ya jumla sio tabia ya kila mtu katika jumla