Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Namimi nahisi jamaa kkeshakalishwa ndo maana anasema hivi
 
Mapenzi yenyewe hawajui, zaidi utaambulia kununua k vant na konyagi anywe kila siku..... Hana la maana zaidi ulevi na ndio wauzaji wa nyapu pale SHIVAZII.
Kama ni kuuza Wasukuma wanauza sana, Wahaya, Warangi ndio usiseme, Wahehe balaa, Wasandawe na wazaramo ndio mbwa kabisa.

So hii sio hoja.
 
Mkuu walikuhutua nini? Si kwa hizo hasira
 
Braza umependa kisawa sawaπŸ˜€πŸ˜€hongera sana
 
Mhmm..!! 😹😹
Kweli wapole sana mfano mzuri humu da Mau ni wife material..!!
 
Sawa bila shaka Siku nyingine ukinikuta nawadescribe wandengereko utasema mimi mndengereko au wamang'ati utasema mimi mmang'ati nk nk πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hahahahah uzuri hakuna wandengereko wenye color kama yako, asante kwa kunipa code muhimu "mndee"
 
Wameru na hizi sifa ulizoweka hapa ni kama mashariki ilivyo mbali na magharibi. Advertisement ya kwanza kila alhamisi wanapandishaga kichaa. Yani mvuruge siku zingine zote za wiki ila ukijichanganya Alhamisi utajua hujui
 
What is behind Alhamisi? Mkuu zama za leo unaamini Mambo ya hovyo kama haya?
 
Huwajui wameru wewe, kwanza wengi wamekeketwa halafu wababe ,Hawako romantic hata kidogo
 
Huwajui wameru wewe, kwanza wengi wamekeketwa halafu wababe ,Hawako romantic hata kidogo
Kukeketwa sio Hoja, Dodoma, Singida, Shinyanga, Mara, Manyara kote huko wanakeketa.

Mbunye iliyokeketwa ina Tight Miaka yote hadi anazeeka.
JApo ni ukatiri lakini wazee wanajua siri ya hii kitu
 
Jamii nyingi Tanzania ziliachana na tamaduni na mila zao..
Mojawapo ya jamii hizi na Wameru wamo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…