Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.

Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.

Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka kwa Mama yao. Hii haiwahusu kataa ndoa.

Baada ya kuwa mwenyeji ndani ya Jiji la Arusha na kupata interaction kubwa ninejifunza mambo mengi kuhusu jamii hii. Ni watu wema, watu wazuri.

Bila kusahau Wasichana wao ni wazuri pia. Sema wana ukali kidogo, ni vema ukawavumilia maana ndivyo walivyo na huwezi kubadilisha. Ni sawa na mskuma kupenda sura nyeupe.

Basi bwana wakanisimulia mafunzo wanayopewa wadada wanaotarajiwa kuolewa. Kama ifuatavyo.

1. Mwanamke anajifunza uvumilivu ktk ndoa
2. Mwanamke anajifunza kuongea maneno machache, asijibizane na mumewe.
3. Mwanamke anafundishwa akiambiwa habari zinazohusu mume wake basi azidharau na kuendelea na maisha yake.

5. Mwanamke ni kosa kubwa akitembelewa na Wakwe au ndugu wa Mume kupika maharage, ni jinai kabisa.
6. Binti wa Kimeru akimpa kitu mtu wa heshime apige goti, abonyee kidogo.
7. Ukimpa maji Mune wako au unabeba chakula hakikisha unaweka kwenye sinia au kisosi, sio na mikoni yako umeshika likikombe unampa.

8. Mkimaliza tendo Mwanamke ahakikishe anausafisha mwiko kabla ukoko haujakauka, na Sufuria lioshwe on the spot.

Yapo mengine mazuri wengine mtaongezea
 
Tupe uzoefu wako Kaka
Uzoefu ninao mkubwa sana tena wa miaka 10.Ni jamii ya hovyo sijapata kuona.Jeuri,kiburi,dharau,ugomvi,hasira zisizo za msingi muda wote.Ni wajinga jinga hivi na ubinafsi wa hali ya juu wote.Kuanzia dada zao mpaka kaka zao.
Naripoti toka Tengeru hapa mkuu,najua ninachokisema
 
Back
Top Bottom