Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Sasa hayo yote mbona ukienda tanga utayapata tena na zaidi na wanawake wa tanga siyo wakali kama hao wameru, kwanza nimeshangaa yani ndio nasikia kwa mara ya kwanza mtu anasema wanawake wa kimeru ni wakali kidogo, wakati miaka yote nimekuwa nikisikia wameru ni moja ya makabila ambayo wanawake wake ni wakali na wana roho mbaya pamoja na uzuri walionao
Watanga wachafu, wameru hadi raha, super clean
 
Mimi Sio Mmeru ila hata vijana wa Kimeru wanawaogopa sana dada zao
Hili ndio nilitaka niwambie.....Ukweli ni Kwamba Wasichana wa kimeru wanawachukua sana Kaka zao, na wanawadharau mno.

Hii imetokana na mira zao na tamaduni. Kwa nini?

Familia za kimeru zinaupendeleo sana kwa Watoto wa kiume. Watoto wa kiume ndio wanaorithi Mali, Ndio hupendwa zaidi hata kama hawana akili hata kama hawana cha maana wanachofanya kwenye familia.

Hii imepelekea uhasama Mkubwa kati ya Watoto wakike na Kaka zao.

Kwa sababu hiyo watoto wa kiume hawajitumi kutafuta hela wala kuhangaika sana.

Wadada wa Meru wanamini Vijana wa huko ni Marioo tu. Ndio chanzo cha dharau.

Kwa hiyo usitafute ushauri kutoka kwa kijana wa Arusha kuhusu Wameru atakwambia hawafai
 
Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.

Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.

Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka kwa Mama yao. Hii haiwahusu kataa ndoa.

Baada ya kuwa mwenyeji ndani ya Jiji la Arusha na kupata interaction kubwa ninejifunza mambo mengi kuhusu jamii hii. Ni watu wema, watu wazuri.

Bila kusahau Wasichana wao ni wazuri pia. Sema wana ukali kidogo, ni vema ukawavumilia maana ndivyo walivyo na huwezi kubadilisha. Ni sawa na mskuma kupenda sura nyeupe.

Basi bwana wakanisimulia mafunzo wanayopewa wadada wanaotarajiwa kuolewa. Kama ifuatavyo.

1. Mwanamke anajifunza uvumilivu ktk ndoa
2. Mwanamke anajifunza kuongea maneno machache, asijibizane na mumewe.
3. Mwanamke anafundishwa akiambiwa habari zinazohusu mume wake basi azidharau na kuendelea na maisha yake.

5. Mwanamke ni kosa kubwa akitembelewa na Wakwe au ndugu wa Mume kupika maharage, ni jinai kabisa.
6. Binti wa Kimeru akimpa kitu mtu wa heshime apige goti, abonyee kidogo.
7. Ukimpa maji Mune wako au unabeba chakula hakikisha unaweka kwenye sinia au kisosi, sio na mikoni yako umeshika likikombe unampa.

8. Mkimaliza tendo Mwanamke ahakikishe anausafisha mwiko kabla ukoko haujakauka, na Sufuria lioshwe on the spot.

Yapo mengine mazuri wengine mtaongezea
Mmeru suala la kuachika halipendi kwani binti akizaa kabla hajaolewa haolewi tena na Mmeru mwenzake
 
Hili ndio nilitaka niwambie.....Ukweli ni Kwamba Wasichana wa kimeru wanawachukua sana Kaka zao, na wanawadharau mno.

Hii imetokana na mira zao na tamaduni. Kwa nini?

Familia za kimeru zinaupendeleo sana kwa Watoto wa kiume. Watoto wa kiume ndio wanaorithi Mali, Ndio hupendwa zaidi hata kama hawana akili hata kama hawana cha maana wanachofanya kwenye familia.

Hii imepelekea uhasama Mkubwa kati ya Watoto wakike na Kaka zao.

Kwa sababu hiyo watoto wa kiume hawajitumi kutafuta hela wala kuhangaika sana.

Wadada wa Meru wanamini Vijana wa huko ni Marioo tu. Ndio chanzo cha dharau.

Kwa hiyo usitafute ushauri kutoka kwa kijana wa Arusha kuhusu Wameru atakwambia hawafai
Okay….. Nawaambiaga watu pattern ya tabia inayoonekana katika jamii fulani lazima ina mzizi wake ambapo huo mzizi utapelekea kuwepo na vitabia vya kufanana kwa jamii husika generation to generations.

Now this makes sense, Nimeelewa kwanini wanawake wa kimeru wako aggressive!
 
Okay….. Nawaambiaga watu pattern ya tabia inaoonekana katika jamii fulani lazima ina mzizi wake ambapo huo mzizi utapelekea kuwepo na vitabia vya kufanana kwa jamii husika generation to generations.

Now this makes sense, Nimeelewa kwanini wanawake wa kimeru wako aggressive!
Hata mimi sikuwa najua. Mpaka nilipofanya utafiti nikaja na hii conclusion.
 
na 9.

wangewambia walambe ifanyavyo mbwa jike kitambaa anaweza weka upupu akajifanya alianika kitambaa nje
 
Hayo yote uliyotaja babe wangu SweetyCandy ameshayapitia. Kwa sasa anasubiria tu watu kualikwa ukumbini, na kucheza live ule wimbo wa Shaban Madobe.
 
Back
Top Bottom