Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Dah hii hatari sasa,mpk mnasema bora ya mchaga basi hapo kuna shida kweli...
 
Uzoefu ninao mkubwa sana tena wa miaka 10.Ni jamii ya hovyo sijapata kuona.Jeuri,kiburi,dharau,ugomvi,hasira zisizo za msingi muda wote.Ni wajinga jinga hivi na ubinafsi wa hali ya juu wote.Kuanzia dada zao mpaka kaka zao.
Naripoti toka Tengeru hapa mkuu,najua ninachokisema
Kweli shubiri tamu!!
 
Refer comment #45
 
Tena wako poa tu ni vile we mwenyewe utakavyotaka kuishi nao
Rafiki zangu wa kichaga wote walikuwa na faida kwangu ingawa wanapenda ku gossip sio poa 😂😂😂😂lazima usikie "eti"
Kuna mmoja ila alikuwa mwanamke aliniambia ili tuwe marafiki lazima tuwe tunawasema sema watu
Sasa yeye hata mkiwa njiani utasikia "yule hadi ananenepa vile akili ilikuwa wapi"😂😂🙌
 
Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.

Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.

Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka kwa Mama yao. Hii haiwahusu kataa ndoa.

Baada ya kuwa mwenyeji ndani ya Jiji la Arusha na kupata interaction kubwa ninejifunza mambo mengi kuhusu jamii hii. Ni watu wema, watu wazuri.

Bila kusahau Wasichana wao ni wazuri pia. Sema wana ukali kidogo, ni vema ukawavumilia maana ndivyo walivyo na huwezi kubadilisha. Ni sawa na mskuma kupenda sura nyeupe.

Basi bwana wakanisimulia mafunzo wanayopewa wadada wanaotarajiwa kuolewa. Kama ifuatavyo.

1. Mwanamke anajifunza uvumilivu ktk ndoa
2. Mwanamke anajifunza kuongea maneno machache, asijibizane na mumewe.
3. Mwanamke anafundishwa akiambiwa habari zinazohusu mume wake basi azidharau na kuendelea na maisha yake.

5. Mwanamke ni kosa kubwa akitembelewa na Wakwe au ndugu wa Mume kupika maharage, ni jinai kabisa.
6. Binti wa Kimeru akimpa kitu mtu wa heshime apige goti, abonyee kidogo.
7. Ukimpa maji Mune wako au unabeba chakula hakikisha unaweka kwenye sinia au kisosi, sio na mikoni yako umeshika likikombe unampa.

8. Mkimaliza tendo Mwanamke ahakikishe anausafisha mwiko kabla ukoko haujakauka, na Sufuria lioshwe on the spot.

Yapo mengine mazuri wengine mtaongezea
Pamoja na mbwembwe zoote za mafunzo kaoe mwanamke wa kimeru ndio utakuwa hujui
 
Hata ukinipa bure na hekali 3 za shamba mmeru sioi. Nipo meru mwaka wa 14 Sasa unajua A to Z kuhusu wameru.
Ndo maana Alexander Mnyeti DC wa amani Arumeru aliwahi Sema, ukikutana na nyoka na mmeru polini, ua mmeru Acha nyoka aende zake.
 
Mimi ninaye huu mwaka wa tano
Hata ukinipa bure na hekali 3 za shamba mmeru sioi. Nipo meru mwaka wa 14 Sasa unajua A to Z kuhusu wameru.
Ndo maana Alexander Mnyeti DC wa amani Arumeru aliwahi Sema, ukikutana na nyoka na mmeru polini, ua mmeru Acha nyoka aende zake.
Alexander ni miongoni mwa wanaume wasio na sifa. Soma comment #45
 
  • Thanks
Reactions: apk
Rafiki zangu wa kichaga wote walikuwa na faida kwangu ingawa wanapenda ku gossip sio poa 😂😂😂😂lazima usikie "eti"
Kuna mmoja ila alikuwa mwanamke aliniambia ili tuwe marafiki lazima tuwe tunawasema sema watu
Sasa yeye hata mkiwa njiani utasikia "yule hadi ananenepa vile akili ilikuwa wapi"😂😂🙌
Hahahaha
 
Declaration of Interest: Mimi nimeoa mmeru Arusha Town.

Pamoja na mapungufu madogo madogo kwenye jamii ya watu wa Arusha bado ni jamii bora sana kama unataka Mke wa kujenga familia na Taifa kwa ujumla.

Ustawi wa Wanao na Ukoo wako ktk Jamii hutegemea sana malezi mazuri kwa Watoto wako kutoka kwa Mama yao. Hii haiwahusu kataa ndoa.

Baada ya kuwa mwenyeji ndani ya Jiji la Arusha na kupata interaction kubwa ninejifunza mambo mengi kuhusu jamii hii. Ni watu wema, watu wazuri.

Bila kusahau Wasichana wao ni wazuri pia. Sema wana ukali kidogo, ni vema ukawavumilia maana ndivyo walivyo na huwezi kubadilisha. Ni sawa na mskuma kupenda sura nyeupe.

Basi bwana wakanisimulia mafunzo wanayopewa wadada wanaotarajiwa kuolewa. Kama ifuatavyo.

1. Mwanamke anajifunza uvumilivu ktk ndoa
2. Mwanamke anajifunza kuongea maneno machache, asijibizane na mumewe.
3. Mwanamke anafundishwa akiambiwa habari zinazohusu mume wake basi azidharau na kuendelea na maisha yake.

5. Mwanamke ni kosa kubwa akitembelewa na Wakwe au ndugu wa Mume kupika maharage, ni jinai kabisa.
6. Binti wa Kimeru akimpa kitu mtu wa heshime apige goti, abonyee kidogo.
7. Ukimpa maji Mune wako au unabeba chakula hakikisha unaweka kwenye sinia au kisosi, sio na mikoni yako umeshika likikombe unampa.

8. Mkimaliza tendo Mwanamke ahakikishe anausafisha mwiko kabla ukoko haujakauka, na Sufuria lioshwe on the spot.

Yapo mengine mazuri wengine mtaongezea
Uislamu ni mfumo wa maisha ya mwanadamu na umetuelekeza kila kitu katika maisha yetu, hivyo hao wameru wa arusha kama sio waislamu ni kazi bure tu, pamoja na yote hayo unayowasifia ila bado wapo katika ujahili.
 
Labda wanawafundisha ukorofi au hawaelewi wanachofundishwa, ni wakorofi, katili na wajuaji, sio ndoa material kabisa!
 
Back
Top Bottom