Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Eti kabisa mlongo wangu kapanda Super Feo mpaka Magufuli halafu mi nimzimie simu? haiwezekaniKweli umenenaa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kabisa mlongo wangu kapanda Super Feo mpaka Magufuli halafu mi nimzimie simu? haiwezekaniKweli umenenaa,
Sikiliza utakavyotangazwa Sasa kwenye ukoo mzima kwamba umemfukuza🤣Et mtu mzima anataka nimlee mim kweli?
Naanzajee kwani? Nishawahi mpokea jirani wa mtaani kwetu, alikujaga kwa interview, baada ya kukosa alio wa target, akaibukia kwangu.Eti kabisa mlongo wangu kapanda Super Feo mpaka Magufuli halafu mi nimzimie simu? haiwezekani
Wema hauozi hakika!Naanzajee kwani? Nishawahi mpokea jirani wa mtaani kwetu, alikujaga kwa interview, baada ya kukosa alio wa target, akaibukia kwangu.
Ananambia yuko mbezi stand, afu ilikua saa 6, nilimuelekeza akodi Boda anikute Shekilango, alikaa kwangu siku 4.
Leo yuko hapo Kurasini kazin, hasahau ule wakati, kuna tyme huwa ananitoa kwa muamala wa kunywa Fanta ya baridiii, sometimes namtembelea kwake.
Wema ni akiba.Wema hauozi hakika!
Kuna mmoja kaniambia anakuja jumatano. Me nikakubali tu. Anzia kesho sipatikaniii.
Mnavopanga safari zenu huwa mnamshirikisha nani? Unaamua tu kwa vile flani yuko sehemu ngoja niende.unajua anapitia hali gani? Unajiamulia tu mwenyewe. Maisha yenyewe yashaharibika tukiwalaza na watoto wetu mnawaharibu.dawa yenu ndo hyo mtaishia magufuli stend hadi mkome.
Wakiwa njiani wanapiga simu kila saa .anafika kati huko simu inaisha charge. Hawatulii
Mtu anatoka mwanza hajafika hata shinyanga amepiga mara kumi kila mahali anatoa update
Hadi afike dodoma na simu ishaharibika kabisa. Anaingia dar hajui aanzie wapi.
Tabia mbaya sanaKuna mmoja kaniambia anakuja jumatano. Me nikakubali tu. Anzia kesho sipatikaniii.
Mnavopanga safari zenu huwa mnamshirikisha nani? Unaamua tu kwa vile flani yuko sehemu ngoja niende.unajua anapitia hali gani? Unajiamulia tu mwenyewe. Maisha yenyewe yashaharibika tukiwalaza na watoto wetu mnawaharibu.dawa yenu ndo hyo mtaishia magufuli stend hadi mkome.
Sidhani kama unaweza kumuacha ndugu yako stend,,itakuwa labda majirani zao wa huko Mbwinde
Me waje napenda sana ndugu maana no mvivu, ko hapo nishapata wa kunisaidia kazi zangu.
Na watu wa bush wanapiga kazi
Just imagine .na akija anakutegemea kila kitu hadi nauli ya kurudi na hela umpeUnapangaje safari kwenda kwa mtu bila yeye kujua??? Kuna watu sio wastaarabu kabisa
Mkuu hamjui tu.fanya appointment na mtu acheni kutuoneaTabia mbaya sana
Kabisa mkuu.Wale wa vijijini walio na akili na maono, hawaji mjini pasipo na malengo maalumu. Hata ukimuita atakuuliza unamuitia nini?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hakuna ndugu mwenye akili akatelekeza ndugu kituoni hao wanaokwambia ni waongo tu.Watu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari wakihisi Dar es salaam kuna maisha raha mstarehe.
Ndugu hao wakishafunga safari na kufika stand ya mabasi Magufuli basi wanatelekezwa, na hao ndugu zao wa Dar uwazimia simu. Jambo ambalo limesababisha watu wengi wa mitaani kuongezeka jijini, ambapo kwa siku stand ya Magufuli upokea makumi ya watu waiokuwa na pa kwenda miongoni mwao ni hao waliotelekezwa na ndugu zao.
Kama uwezi kuwa mwenyeji wa mtu, si bora umwambie tu, atafute alternative kuliko kumtia moyo ya kuja kuishi Dar es salaam na kisha kumtelekeza. Kama maisha yamekuchapa, mwambie tu ukweli kwamba maisha yangu hayako sawa. Hili abaki mkoani, kuliko kujichanga nauli alafu unamtupa stand.