Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Acha ufala bc ndugu yangu 😂😂😂Kuna jamaa Alifika stendi ya Magufuli wakati ndugu anamuuliza uko wapi yeye Akamwambia njoo hapa Kuna Taa inawaka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ufala bc ndugu yangu 😂😂😂Kuna jamaa Alifika stendi ya Magufuli wakati ndugu anamuuliza uko wapi yeye Akamwambia njoo hapa Kuna Taa inawaka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ilinikost 2015 nikaenda kukopa pesa za riba bila kutaka[emoji16][emoji16].
Nimekaa zangu tarehe hazieleweki,nimeshampanga mama ntilie anihifadhi kwa siku 5 zilizobaki nitamalizana naye,ghafla sms"bro niko tazara nakuja kwako"
Nilishtuka lakini nikajiba ujasiri na kwenda kuuvagaa mkenge wa deni,ili tu nimpokee ndugu yangu huyu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna jamaa Alifika stendi ya Magufuli wakati ndugu anamuuliza uko wapi yeye Akamwambia njoo hapa Kuna Taa inawaka sana
Ndugu yako huwezi muacha stand na ukiona unashindwa kumwambia ukweli wa maisha yako ujue hapo kuna utata kwenye undugu wenuSidhani kama unaweza kumuacha ndugu yako stend,,itakuwa labda majirani zao wa huko Mbwinde
My late bibi alikuwaananiambia hivi,usije mtreat mgeni vibaya hata siku Moja, jitahidi mtendee Wema,maana mgeni ni kama mawingu ya mvua,yatatandaa weee ila mvua ikinyesha na yenyewe yatapotea.........unaona Sasa unajilia mchele supa,sijui ungemzimia simu ingekuwaje maskiniNdugu yako huwezi muacha stand na ukiona unashindwa kumwambia ukweli wa maisha yako ujue hapo kuna utata kwenye undugu wenu
Me nilishawah waza kumzimia sim ndugu yangu ila niliwaza sana nafsi ikanisuta nikaenda mpokea ubungo ila nikamwambia amezingua
Saiz ndugu yangu katoboa kwenye mambo ya kilimo yani hazipiti week mbili sijatumiwa vifurushi vya mazaga yani ndani mchele kibao hadi natamani kuuza
Amebaki kusema tu nilimsaidia kipindi ana shida hana kitu hawezi kunisahau, nikicheki msaada niliompa ni kufikia gheto kwangu tu akakaa wiki2 ila anayorudisha kwangu mpaka nimeanza kumuogopa sasa [emoji38][emoji28]
My late bibi alikuwaananiambia hivi,usije mtreat mgeni vibaya hata siku Moja, jitahidi mtendee Wema,maana mgeni ni kama mawingu ya mvua,yatatandaa weee ila mvua ikinyesha na yenyewe yatapotea.........unaona Sasa unajilia mchele supa,sijui ungemzimia simu ingekuwaje maskini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Mim kuna dada sasa hivi miezi sita nimemuambia apange kwakweli
Kukaa na mtu kazi sana aisee nimejitahidii mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mimi even my best friend kukaa ile tuu two hrs lzm tugombanee kukaa na mtu lzm uwe mjinga vinginevyo hiishKukaa na mtu kazi sana aisee nimejitahidii mno
Heeeee huyo Sasa ni elnino!!hujakosea kumwambia akapange maana hata Chocho zote za mji anazijuaMim kuna dada sasa hivi miezi sita nimemuambia apange kwakweli
Mkuu hiyo roho mbaya!!!Sisi wengine hata tukirudi nyumbani kwetu tunawaambia wenza wetu, wewe unakuja Dar kwa rafiki unapiga simu ukiwa stand? Hata mimi sikupokei.
Et mtu mzima anataka nimlee mim kweli?Heeeee huyo Sasa ni elnino!!hujakosea kumwambia akapange maana hata Chocho zote za mji anazijua
Watu wa mikoani huwa hatuji mikono mitupuNdugu yako huwezi muacha stand na ukiona unashindwa kumwambia ukweli wa maisha yako ujue hapo kuna utata kwenye undugu wenu
Me nilishawah waza kumzimia sim ndugu yangu ila niliwaza sana nafsi ikanisuta nikaenda mpokea ubungo ila nikamwambia amezingua
Saiz ndugu yangu katoboa kwenye mambo ya kilimo yani hazipiti week mbili sijatumiwa vifurushi vya mazaga yani ndani mchele kibao hadi natamani kuuza
Amebaki kusema tu nilimsaidia kipindi ana shida hana kitu hawezi kunisahau, nikicheki msaada niliompa ni kufikia gheto kwangu tu akakaa wiki2 ila anayorudisha kwangu mpaka nimeanza kumuogopa sasa [emoji38][emoji28]
Kweli umenenaa,Sidhani kama unaweza kumuacha ndugu yako stend,,itakuwa labda majirani zao wa huko Mbwinde
Wengine wenu mnajifanyaGA mmekuja na hela na kujifanya mnachafua baa. Mwisho wa siku tunawapaGA nauli za kurudi! Tuna simu zenu nyingi tu mlizoacha bondi! Ahahahahaha!!Huwa tunakuja ghafla kwani?? Huwa tunatoa taarifa plus tunakuja na hela
Msaidie kama ana matatizo.Et mtu mzima anataka nimlee mim kweli?